Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Huyu mama!ipo siku atajilaumu Sana KWA HIZI sarakasi za KATIBA MPYA!!
TUSUBIRI
MkuuVitu vinavyokwamisha katiba mpya ni hivi
1) muungano
2) uraia pacha
CCM wanajua muungano ukiguswa utavunjika, uraia pacha ukiruhusiwa WaAsia waliopoteza mali zao baada ya Azimio la Arusha watarudi kuzidai.
Badala ya kuita mtu mmoja mmoja au vikundi watumie mitamdao ya simu. Watu watume maoni yao kwa SMS au kwa WhatsApp. Wataokoa muda na fedha za vikao nk.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Nchi ya mazwazwa. Na bado cha moto kinakuja maana hatujui jinsi ya kutetea nchi full kulalamikaHii kazi alishafanya Warioba,nchi yetu hatuna vipaumbele kabisa yaani
Mkuu
Tayari ishu ya muungano zinabaki mbili kama ilivofanyiwa UTAFITI.
Ishu ya uraia pacha haiepukiki hata kidogo
Ishu PEKEE inayowaumiza ni madaraka ya Rais na hofu ya kupoteza Mali walizochuma kwa UFISADI na WIZI hapo tu!!!
Asset ya kuagiza raia wapigwe tu!!Pinda ni asset kwa Taifa hili.
Alishaomba msamaha. Ila wakaidi wote sio raia. Ni wahalifu. Duniani kote wanapigwa na ndio maana hata juzi mashabiki wa Liverpool walipigwa mboko na tear gas pale Ufaransa, kisa ukaidi wao.Asset ya kuagiza raia wapigwe tu!!
Ishu PEKEE inayowaumiza ni madaraka ya Rais na hofu ya kupoteza Mali walizochuma kwa UFISADI na WIZI hapo tu!!!
Yale maoni ya Tume ya Jaji Warioba ndiyo yenyewe... Kwamba wanataka kuyatupa wakusanye mengine au?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hiki kikosi kazi kitachakachua maoni.... Kimsingi inatakuwa tubaki pale pale kwa Warioba...yule mzee alishamaliza kaziInaelekea huo ndiyo mpango wao otherwise huko mkoani wana kwenda kufanya nini? Serikali haina fedha ya kumalizia hii mirada ya SGR na Bwawa la Nyerere halafu wanataka kupoteza hela kuwahonga hawa kikosi cha Hangaya ili kije na mambo yatakayolinda maslahi yao!!
Kwanza kabisa hiki kikosi kazi cha Hangaya hakiwakilishi wananchi wote kama vile ile TUME YA WARIOBA ilivyowawakilisha wananchi!! Kikwete/Hangaya wamewakusanya watu wao toka ccm na Saccos za ZITTO, Hamad Rashid na Saccos Nyingine wakazipa jina kuwa ni vyama nya siasa na wakawajumuisha mapadri na masheikh na hao ndio wakawa kikosi kazi!! Nchi hii kuna watu hawana dini wala si wafuasi wa vyama vya siasa na ni wengi hivyo hawa hawajawakilishwa kwenye hico kikosi kazi na dio maana watu wanasema; hicho kikosi ni cha Kikwete na Hangaya na hakina legitimacy ya kuwawakilisha wananchi!!