Mizigo ya harusi bila uwezo mzuri hainaga maana

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani?

vijana wengi wanasukumwa na mihemko kumridhisha mwanamke na kufanya show off sababu wanawake ndo chanzo cha mambo kama hayo kuhimiza kushinikiza baada ya kuona wengine wanafanyiwa.

Vipaumbele viko wapi?
Kama tayari mna watoto, fedha za ukumbi na vinywaji zipelekeni kwenye ada, kiwanja au mradi wa familia, siyo starehe ya siku moja.

Kama huna hela, tulia, Kama huwezi kugharamia sherehe yako mwenyewe, huna sababu ya kugeuza harusi yako kuwa mzigo kwa ndugu na marafiki.

Ndoa siyo ukumbi, ndoa halali ya kidini au kiserikali inafungwa kwa gharama ndogo sana. Mambo ya mbwembwe za mamilioni wakati huna msingi wa maisha ni kujitafutia msongo wa mawazo.

Mapenzi ya kweli hayapimwi kwa ukubwa wa sherehe. Vijana badilikeni acha kuishi kwa kwa whow off. Wekeza nguvu kwenye kutafuta maisha kwanza, mbwembwe zitafuata ukiwa tayari!

wengine hata nyumaba hamna hata ya chumba kimoja choonie mmepanga mbagala vyumba vya 25k kule down hauwazi kupambana kutoka kwenye maisha hayo unakaa kwenye chumba mijusi inapiga kelele unasikia ila unasambaza kadi za harusi.
 
Hii imekaa vizuri sana. Nainukuu:
"Ndoa siyo ukumbi, n
doa halali ya kidini au kiserikali inafungwa kwa gharama ndogo sana. Mambo ya mbwembwe za mamilioni wakati huna msingi wa maisha ni kujitafutia msongo wa mawazo".
Halafu unakuta kijana anamuoa mke wake i.e. wameshaishi muda mrefu kinyumba kama mume na mke tena wameshazaa watoto 2.
 
yupo mwingine ana wanne na wamepanga chumba kimoja na sebule anafunga ndoa lwa sherehe ukicheki uwezo wale na watoto wanavyovaa unaumia sana
 
MIm hua schangii harusi mwenye uwezo aandae anialike kula shreh ni yake si yangu mi ntampa tu zawadi uchumi wangu ukiruhusu
 
Back
Top Bottom