Mizimu imenichagua kuwa mganga japo nina shahada

Aliyekwambia MIZIMU unaweza kuikataa Nani?


Utazinguka dunia Hii na hutaeeza kuizuia Mizimu ya UKOO wako labda Kama ni ya jirani yako[emoji848]
Aisee sisi kwetu mbona hakuna huo ujinga
Ni kuendekeza ushirikina tuu
 
Kama unataka kuukataa uganga, Nenda pale buguruni Rozana, Kuna ostadh anaitwa Charles Athumani ndio issue zake hizo akakusomee visomo, Kuna mama alikuwa anasumbua Kama wewe lakin Sasa hivi mzima.
Kuna mizimu ya asili ya uganga na mashetani / mizimu mibaya ,ya asili haiondoki zaidi ya kukuletea balaa tuu ukiikataa
 
Afadhali, nimepata mganga hapa nataka kuangusha mtu
 
Mganga ana miezi miwili hana bando

wateja wanakopa dawa tu😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…