Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mizimu ulikutana nayo wapi?Mimi ni member humu Ila hii ni ID mpya....
Umri wangu ni miaka 29
Elimu yangu ni Shahada
Sijaoa Sina Mtoto
Tangu nimemaliza chuo miaka 8 iloyopita sikuwahi bahatika kupata ajira, nimetafuta Sana kazi lakini holaaa!
Katika Asili yangu yani Upande wa BABA sijui kizazi Cha ngapi alikuwepo MGANGA, pia katika Upande wa MAMA ulikuwa wa kichifu pia UGANGA upo
HIVYO NIMECHAGULIWA MGANGA na MIZIMU YANGU
Miaka Kama Sita Nyuma nimekuwa na MAONO katika kichwa changu naweza kujua Mengi ya sirini yanayonihusu Na hata ya watu, DAWA na TIBA mbalimbali.
MIZIMU imeniambia kabisa nilizaliwa niwe MGANGA na Pesa yangu nitaipata kwa MIUJIZA ya mikono yangu.
Naskitika Sana kuacha VYETI vyangu
Naomba link Mkuu! Niko serious sana
Basi sawa wagawie Ndugu zako kabla hatujakuzika😂😂😂Wa ROHO...
Kama wewe unavyotumikishwa na wanaume Wenzio huko kanisan.....Yaani Msomi mzima unataka kutumikishwa na tu pepo twa ukoo.
Wewe unathamani mara zilioni kupita huto tumizimu.
Jobless hatuishi.
Tunasurvive.
Muone Mwamposa mganga mwenzio akushauriMimi ni member humu Ila hii ni ID mpya....
Umri wangu ni miaka 29
Elimu yangu ni Shahada
Sijaoa Sina Mtoto
Tangu nimemaliza chuo miaka 8 iloyopita sikuwahi bahatika kupata ajira, nimetafuta Sana kazi lakini holaaa!
Katika Asili yangu yani Upande wa BABA sijui kizazi Cha ngapi alikuwepo MGANGA, pia katika Upande wa MAMA ulikuwa wa kichifu pia UGANGA upo
HIVYO NIMECHAGULIWA MGANGA na MIZIMU YANGU
Miaka Kama Sita Nyuma nimekuwa na MAONO katika kichwa changu naweza kujua Mengi ya sirini yanayonihusu Na hata ya watu, DAWA na TIBA mbalimbali.
MIZIMU imeniambia kabisa nilizaliwa niwe MGANGA na Pesa yangu nitaipata kwa MIUJIZA ya mikono yangu.
Naskitika Sana kuacha VYETI vyangu
unakuwa mtumwaa sanaUkiingia kwenye uganga Rasmi ukajua mambo yake kiundani utaikumbuka sana coment na.13
.
NB: Hakuna amani wala utajiri wa furaha kwa kumtumikia shetani
nani kakudanganya kuwa mizimu haikataliwi, utajuta baadaeAliyekwambia MIZIMU unaweza kuikataa Nani?
Utazinguka dunia Hii na hutaeeza kuizuia Mizimu ya UKOO wako labda Kama ni ya jirani yako🤔
kuna makanisa yasiyo ya kiroho, yapi hayoNenda kwenye makanisa ya kiroho, ukapate msaada wa maombi na ushauri
Pesa, Mali, dhahabu si vya bwana ni vya shetani. Unakumbuka Yesu alitaka kupewa Nini na shetani pale mlimani.Achana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.
Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana
Usipaniki. Ruksa kavitumikie vimizimu.Kama wewe unavyotumikishwa na wanaume Wenzio huko kanisan.....
Ndugu yangu mizimu ikishakupointi auna namna mana si ya ubaya iyo ingekuwa ya ubaya angeenda kanisani ingekimbia mbali ila ngoja nikupe ushaidi mmoja hivi, kulikuwa kuna mama mmoja enzi za ujana wake iyo mizimu ilitaka awe mganga yule mama akajifanya kwenda kanisani alikesha sana makanisani tena alibadili sana makanisa lakini wapi sasa ile mizimu ilimtesa sana ikafika kipindi alikuwa anaumwa vitu ambavyo avieleweki basi yule mama ikabidi asalimu amri mpk leo mgangaAchana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.
Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana