Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,036
- 1,286
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hayo maono hayakukuambia usipoteze ada bure hautapata kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hayo maono hayakukuambia usipoteze ada bure hautapata kazi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tucheke wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pesa ni mali ya kaisali usimdanye huyo mwamba.Achana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.
Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana
Mizimu ya mchongo,Hayo maono hayakukuambia usipoteze ada bure hautapata kazi?
Jikoni kwenu😎Hiyo mizimu ulikutana nayo wapi?
Hayo maono hayakukuambia usipoteze ada bure hautapata kazi?
Achana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.
Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana
Katolikikuna makanisa yasiyo ya kiroho, yapi hayo
Chuo ulisomea ushirikina?????Mimi ni member humu Ila hii ni ID mpya....
Umri wangu ni miaka 29
Elimu yangu ni Shahada
Sijaoa Sina Mtoto
Tangu nimemaliza chuo miaka 8 iloyopita sikuwahi bahatika kupata ajira, nimetafuta Sana kazi lakini holaaa!
Katika Asili yangu yani Upande wa BABA sijui kizazi Cha ngapi alikuwepo MGANGA, pia katika Upande wa MAMA ulikuwa wa kichifu pia UGANGA upo
HIVYO NIMECHAGULIWA MGANGA na MIZIMU YANGU
Miaka Kama Sita Nyuma nimekuwa na MAONO katika kichwa changu naweza kujua Mengi ya sirini yanayonihusu Na hata ya watu, DAWA na TIBA mbalimbali.
MIZIMU imeniambia kabisa nilizaliwa niwe MGANGA na Pesa yangu nitaipata kwa MIUJIZA ya mikono yangu.
Naskitika Sana kuacha VYETI vyangu
Ndio nilikua na Mama yako mzazi ye alikuwa kitengo Cha kubumba majini mahaba
Mzimu ni mapepo ya mababu, ingawa yenyewe hutamba kwamba ndiyo malinzi ya ukoo husika - kazi yanayofanya ni yanaangalia makubaliana ama sheria ambazo mababu zako waliangana - yenyewe huwa hayafi sababu hayana mwili na ndiyo maana yanatambua ukoo wenu mwanzo mwisho na ukishachaguliwa huwa huna namna bali ni kukubaliana nayo maana yana mikwara balaa.
Kwa hiyo kama ukigoma yatakupa adhabu za kijinga ila pambana nazo kwa damu ya Yesu utashinda, belive me.
Kwa hili utaokoa wengiAchana na mizimu wewe, njoo kwa YESU kuna zaidi ya hivyo.
Pesa, Mali dhahabu ni Mali ya Bwana
Kashafanya maamuzi ni ngumu kuacha au kukataanani kakudanganya kuwa mizimu haikataliwi, utajuta baadae
tumia nafasi ya sasa kuikataa, ukiishaanza kazi ya uganga
Ukiwa na Nia unaweza kabisa kuikataaa ..Mimi Nina ushahidi pia muhimu usimame na Mungu kweli kweliNdugu yangu mizimu ikishakupointi auna namna mana si ya ubaya iyo ingekuwa ya ubaya angeenda kanisani ingekimbia mbali ila ngoja nikupe ushaidi mmoja hivi, kulikuwa kuna mama mmoja enzi za ujana wake iyo mizimu ilitaka awe mganga yule mama akajifanya kwenda kanisani alikesha sana makanisani tena alibadili sana makanisa lakini wapi sasa ile mizimu ilimtesa sana ikafika kipindi alikuwa anaumwa vitu ambavyo avieleweki basi yule mama ikabidi asalimu amri mpk leo mganga
Asisikilize maneno ya watu humu pamoja na wewe.Mkuu sikiliza nikuambie..
Usisikilize maneno ya watu humu, uganga ni kipaji kama vipaji vingine kama kuimba, kuigiza au mpira. Hayo maono unayoyaona ndio kipaji chenyewe na ukiyatumia vizuri yanaweza kukufikisha mbali kimaisha kuliko hivyo vyeti. Sasa hivi maisha ni magumu sana mkuu ukipata uchochoro wa kupiga pesa usiulazie damu!
Hao wanaokushauri uache hicho kipaji chako ndio hao hao wanakupita barabarani wakiwa kwenye ma range rover na ma vx wanakutimulia vumbi tu wakati na wao hela wanapata kwa kula rushwa, dhuluma, madawa ya kulevya, nk. Infact wengine hela wamepata kwa waganga.