Mizimu inapata wapi nguvu za kuleta mvua?

Mizimu inapata wapi nguvu za kuleta mvua?

Allah ndiye pekee mwenye kuleta mvua na muendeshaji wa mambo yote kaka...zingine porojo tu

[Qur an AR-RUM - 48 ]
Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma pepo zikayatimua mawingu, kisha akayatandaza mbinguni kama apendavyo. Na akayafanya mapande mapande, basi ukaiona mvua inatoka ndani yake. Anapo wafikishia awatakao katika waja wake, mara hao huwa na furaha.
Msichanganye Mambo, Mambo ya Mizimu ni Imani kama ilivyo wewe unaeamini Mungu ana nguvu. Na wapo Wapo watu hawaamini katika mizimu wala Mungu.
 
ila kule kanisani wale marehemu wakina petro,marko mnaawaita watakatifu na mnasema kabisa mtakatifu flani utuombee ila babu zako wao ni mizimu hawafai kukuombeas,upuuzi kabisa afrika
 
Mtu au kiumbe chochote kikifa hakiwezi kusikia, kuona, kuhisi wala kujibu chochote.

Kwahiyo kuamini kuwa mizimu inaweza kuleta mvua au kufanya chochote ni Upumbavu na Ujinga.
Kwa mfano kumuamini Mtume Muhammad S.A.W na kumuomba wakati alishakufa itakuwa ni......?

bakiza akiba ya akili
 
Mtu au kiumbe chochote kikifa hakiwezi kusikia, kuona, kuhisi wala kujibu chochote.

Kwahiyo kuamini kuwa mizimu inaweza kuleta mvua au kufanya chochote ni Upumbavu na Ujinga.
energy cannot be created not destroyed but it can change from one state to another
 
Back
Top Bottom