Eat and run.....Ukiona una ambae ana mahitaji yaliyokuzidi umri, basi ujue wewe ndio umebugi. Chukua size yako mkuu, yaani tatizo linakuwa limekwisha. Kujitia ujuaji kubeba vilivyowazidi ndio kunakowamaliza, lasivyo endeleeni tu kulia lia maana msiba wa kujitakia huo.
mfyuuuMuache mizinga.....
we mchoyo sana maandishi yako yanaonekanaWe hujaniomba bado.... Sitakunyima...
Aisee! Hawa jamaa mizinga yao.... Kwani sikukuu bila dira... Ukimpa dira, atakuambia hela ya kula... HahahaaahJana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118
Acha kuruka ruka kijana, we ulipomfuata mwenye nywele za laki2 kichwani hukuwaona wenye twende kilioni ambao ndio unawezana nao???
Espy !! Warren Buffet aliwahi ulizwa kwa nini unatumia gari hiyo hiyo toka miaka ya 80 hadi leo.?? Akajbu hawezi ku afford a new car, wakati ana more than $50b...!! Kila kitu kina kiasi na mipaka..! Alafu ideology ya kutimiziwa kila kitu ni ndoto, mahitaji hayajawahi kuisha kwa mtu yeyote hata billgate... Tunatimiza kutokana na resource iliyopo...!! Ukisema ufanye kazi kutimiza mahitaji ya binadam yote utakufa unatafuta hata uwe nani....!!
Na ukisema unachukuliwa na level yako ipi hiyo..?? Watanzania zaidi ya 3/4 ni makapuku chini ya (1/4) ndo wa kati na wa juu...!! Mbna hao hawana wanawake mia mia kila mtu...?? Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako... Blv me or nat espy huo ndo ukweli..!!
Imefanyaje?Eat and run.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mfyuuu
Hizi chart za 25 oct 2016 alafu unatuambia za jana wee koma humu hakuna watt wenzakoHahahahahahahahahha... Eti dira la Idd..!!
Hujui kula nako ni hitaji la msingi la binadamu?Aisee! Hawa jamaa mizinga yao.... Kwani sikukuu bila dira... Ukimpa dira, atakuambia hela ya kula... Hahahaaah
Ote mbeMuulize Miss Natafuta, mwenzio nishamjaza minoti [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mbona hii sio ya jana bali ni ya Oktoba 25,2016??!!Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118
Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118
Ukiona sms inayo uliza "nikuambie kitu"! jibu tu usiniambie kwa usalama wako.
Ukiwa muongo inatakiwa uwe muangalifu sana, tarehe ya hizo chats imekuumbua dogo, kajipange tena.Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118