Espy !! Warren Buffet aliwahi ulizwa kwa nini unatumia gari hiyo hiyo toka miaka ya 80 hadi leo.?? Akajbu hawezi ku afford a new car, wakati ana more than $50b...!! Kila kitu kina kiasi na mipaka..! Alafu ideology ya kutimiziwa kila kitu ni ndoto, mahitaji hayajawahi kuisha kwa mtu yeyote hata billgate... Tunatimiza kutokana na resource iliyopo...!! Ukisema ufanye kazi kutimiza mahitaji ya binadam yote utakufa unatafuta hata uwe nani....!!
Na ukisema unachukuliwa na level yako ipi hiyo..?? Watanzania zaidi ya 3/4 ni makapuku chini ya (1/4) ndo wa kati na wa juu...!! Mbna hao hawana wanawake mia mia kila mtu...?? Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako... Blv me or nat espy huo ndo ukweli..!!