Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Ukiona una ambae ana mahitaji yaliyokuzidi umri, basi ujue wewe ndio umebugi. Chukua size yako mkuu, yaani tatizo linakuwa limekwisha. Kujitia ujuaji kubeba vilivyowazidi ndio kunakowamaliza, lasivyo endeleeni tu kulia lia maana msiba wa kujitakia huo.
Eat and run.....
 
Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]

View attachment 528118
Aisee! Hawa jamaa mizinga yao.... Kwani sikukuu bila dira... Ukimpa dira, atakuambia hela ya kula... Hahahaaah
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Hahaaa acha tu mkuu sikutaka hata kuendelea kuchat nae [emoji28][emoji23][emoji27][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 

Espy !! Warren Buffet aliwahi ulizwa kwa nini unatumia gari hiyo hiyo toka miaka ya 80 hadi leo.?? Akajbu hawezi ku afford a new car, wakati ana more than $50b...!! Kila kitu kina kiasi na mipaka..! Alafu ideology ya kutimiziwa kila kitu ni ndoto, mahitaji hayajawahi kuisha kwa mtu yeyote hata billgate... Tunatimiza kutokana na resource iliyopo...!! Ukisema ufanye kazi kutimiza mahitaji ya binadam yote utakufa unatafuta hata uwe nani....!!

Na ukisema unachukuliwa na level yako ipi hiyo..?? Watanzania zaidi ya 3/4 ni makapuku chini ya (1/4) ndo wa kati na wa juu...!! Mbna hao hawana wanawake mia mia kila mtu...?? Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako... Blv me or nat espy huo ndo ukweli..!!
Acha kuruka ruka kijana, we ulipomfuata mwenye nywele za laki2 kichwani hukuwaona wenye twende kilioni ambao ndio unawezana nao???

Kwa huyo Waren nilichojifunza ni kuwa maisha ni kuchagua na kufurahia kile ulichokichagua, kwahiyo nawe km umechagua kuwa na anaekukamua, basi kubali tu kukamulika maana ndicho ulichochagua walaaa usilalamike.
 
Aisee! Hawa jamaa mizinga yao.... Kwani sikukuu bila dira... Ukimpa dira, atakuambia hela ya kula... Hahahaaah
Hujui kula nako ni hitaji la msingi la binadamu?
 
Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]

View attachment 528118
Ukiwa muongo inatakiwa uwe muangalifu sana, tarehe ya hizo chats imekuumbua dogo, kajipange tena.
 
Kauli Mbiu Chafua Meza

Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Back
Top Bottom