Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Kuna she yuko kimara ameniambia bei ya kumla kutwa laki moja

Nikamuuliza ulipiga kura uchaguzi mkuu uliopita akasema ndio nikamuuliza mpinzani ulikuwa kati ya nani na nani akataja

Nikamuuliza ulimpigia nani akasema
Nikamuuliza nani alishinda
Akasema nikamwambia poa siku njema

Akawa hajanielewa nimemwacha hivyo hivyo sip lazima anielewa wakati mambo mengi anaelewa na aliyashiriki
 
acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
nimecheka sana miss chagga
 
Acha kuruka ruka kijana, we ulipomfuata mwenye nywele za laki2 kichwani hukuwaona wenye twende kilioni ambao ndio unawezana nao???

Kwa huyo Waren nilichojifunza ni kuwa maisha ni kuchagua na kufurahia kile ulichokichagua, kwahiyo nawe km umechagua kuwa na anaekukamua, basi kubali tu kukamulika maana ndicho ulichochagua walaaa usilalamike.

Kumbe ndo mko wakali ivi kutetea maslahi... haya bhn espy wengine hata hatukuwezi ngoja tukae pembeni...!!
 
Kuna she yuko kimara ameniambia bei ya kumla kutwa laki moja

Nikamuuliza ulipiga kura uchaguzi mkuu uliopita akasema ndio nikamuuliza mpinzani ulikuwa kati ya nani na nani akataja

Nikamuuliza ulimpigia nani akasema
Nikamuuliza nani alishinda
Akasema nikamwambia poa siku njema

Akawa hajanielewa nimemwacha hivyo hivyo sip lazima anielewa wakati mambo mengi anaelewa na aliyashiriki
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi chart za 25 oct 2016 alafu unatuambia za jana wee koma humu hakuna watt wenzako
Acha ujuaji hiyo msg ya oct 2016 ni ya end to end encryption. naona ndio unajifunza kutumia whatsap wewe.
 
Ukiwa muongo inatakiwa uwe muangalifu sana, tarehe ya hizo chats imekuumbua dogo, kajipange tena.
Acha ujuaji hiyo oct 2016 ni ujumbe wa whatsap end to end enctyption. usipende kukurupuka
 
Mapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
😀😀😀😀😀 hay bana. Noted!
 
acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Miss chagga umechafukwa ila punguza kidogo basi kupenda ela mama manake unaua bendii
 
Back
Top Bottom