Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimecheka sana miss chaggaacha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
ha hahanimecheka sana miss chagga
Acha kuruka ruka kijana, we ulipomfuata mwenye nywele za laki2 kichwani hukuwaona wenye twende kilioni ambao ndio unawezana nao???
Kwa huyo Waren nilichojifunza ni kuwa maisha ni kuchagua na kufurahia kile ulichokichagua, kwahiyo nawe km umechagua kuwa na anaekukamua, basi kubali tu kukamulika maana ndicho ulichochagua walaaa usilalamike.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna she yuko kimara ameniambia bei ya kumla kutwa laki moja
Nikamuuliza ulipiga kura uchaguzi mkuu uliopita akasema ndio nikamuuliza mpinzani ulikuwa kati ya nani na nani akataja
Nikamuuliza ulimpigia nani akasema
Nikamuuliza nani alishinda
Akasema nikamwambia poa siku njema
Akawa hajanielewa nimemwacha hivyo hivyo sip lazima anielewa wakati mambo mengi anaelewa na aliyashiriki
Acha ujuaji hiyo msg ya oct 2016 ni ya end to end encryption. naona ndio unajifunza kutumia whatsap wewe.Hizi chart za 25 oct 2016 alafu unatuambia za jana wee koma humu hakuna watt wenzako
Umeanza kutumia whatsap lini mkuu??Mbona hii sio ya jana bali ni ya Oktoba 25,2016??!!
Acha ujuaji hiyo oct 2016 ni ujumbe wa whatsap end to end enctyption. usipende kukurupukaUkiwa muongo inatakiwa uwe muangalifu sana, tarehe ya hizo chats imekuumbua dogo, kajipange tena.
😀😀😀😀😀 hay bana. Noted!Mapenz ya kale yanarudishwa na Sikukuu ya Eid..... Wiki hii kuweni makini sana, usije ukaona calls nyiingi ukadhani unapendwa....
Miss chagga umechafukwa ila punguza kidogo basi kupenda ela mama manake unaua bendiiacha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Hauniwezi kwani tunawezana hapa!!!!
Kumbe ndo mko wakali ivi kutetea maslahi... haya bhn espy wengine hata hatukuwezi ngoja tukae pembeni...!!
Kwani ni lini?ila hii eid ingedondokea jumatatu jamani lol
25 October 2016Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118
mmh nitajaribuMiss chagga umechafukwa ila punguza kidogo basi kupenda ela mama manake unaua bendii
Oooh sorry nilichek vibaya kumbe ni yesterday25 October 2016
Ukiwa muongo uwe na akili ya ziada
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bora awe safe na mimi mifuko yangu iwe safe kwa kweliNa usipoona call yoyote basi ujue yupo 'somewhere safe' anapendwa na wanaojua kupenda
Tumia pesa ikuzoee