Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umenichekesha hapo pa "mikono juu ya ardhi"
Usijali, no hard feelings.
lol, huyo hajataka kuremba mwandiko.Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118
ooohoo, hamjataka kumezea, lolMbona hii sio ya jana bali ni ya Oktoba 25,2016??!!
Usiogope bana mkuu watu hawafanani na mizinga n jambo LA kawaida!!!! Hata ukiepuka eidMkuu mi jana nilikuwa TAIFA pale nimechukua namba ya USTAADHATI mmoja hivi mkali,ila nasubiri hadi Idd ipite mkuu ndo nianze makeke.Naepuka mengi yanaoyambatana na sikukuu.
Ningeshangaa sana kwenye Uzi huu Wewe usiwemoacha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
sijajua,ila nasikia jumapili au jumatatuKwani ni lini?
Khaaaaah!! Umeamua sasa kunivika kilemba cha ukoka eti!!!!
Hhahah..!! Nlijua hatuwezi pishana labda niwe nimelewa.! lkn niko mzima kbsa nikukorofishe,?? Haitokaa itokee..!! Tena Malkia wa nguvu kbsa Jf hapa
Sasa kuvutia kwa sura yako na sisi kutokuwa na huruma vina mahusiano gani mkuu?Sura yangu haivutii hata kwa mtu aliyelewa,
Sikuwa najua simu ya imekuwa ikipigiwa hasa ktk siku hizi mbili,
Hawana huruma watu hawa.
acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
We ushatuma pesa alafu unawadanganya wenzio!!!Kwa wanaume woteeee.
Ukipokea simu ya mwanamke jifanye husikii kisha kata simu na ikibidi zima na utie beteri ili kuepusha hatari ya mifuko hiyo.
Khaaaaah!! Umeamua sasa kunivika kilemba cha ukoka eti!!!!
Kuja hapa... nimekuona...
MmhNingeshangaa sana kwenye Uzi huu Wewe usiwemo
Ushatuma pesa ya sikukuu lakini?
Hapana asilani...!! Umehisi tu hivyo but haiko hivyo...!!