Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Ushatuma pesa ya sikukuu lakini?

Unazan hata ni ya kutuma bhas.,, niko nae hapa muhusika ni kumpa tu na vurumai lake ss ukizingua, natamanigi ardhi ipasuke nidumbukie...!!
 
acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Miss rudisha ile avata ya matako
 
Unazan hata ni ya kutuma bhas.,, niko nae hapa muhusika ni kumpa tu na vurumai lake ss ukizingua, natamanigi ardhi ipasuke nidumbukie...!!
Aaah! Basi safi. We mpe tu usisubiri vurumai.
 
Msimu huu ndio wa kumkumbka mama mchpko wangu wa zaman
 
Vurumai hua lina positive effects zake., Ko lzm nimpige chenga mbili tatu..!! Si unajua tena
Oooooh kumbe!! Basi hamna shida, mkishajuana walaa hamshindwani.
 
napenda tu anione aisee
Mwenzako kala za msukuma, sehem zake za siri zikasafiri Kwa muda mpk msukuma alivyopenda mwenyewe ndo akarudishiwa. Angalia na ww kupendapenda hela huko kutakupeleka Kwa msukuma
 
acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
ohoooo ohoooo ohooooo
 
Back
Top Bottom