Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mama ni mke wa baba,uwepo wa Baba wa Taifa je mnataka kuwafungisha ndoa hawa watu kimya kimya ?Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Usisahau kuwa ndiye aliyemleta BashiteSSH ni MwanaMama shupavu na madhubuti, Rais na PHd Dr. msikivu sana, makini, mwenye maono, hodari na mahiri sana anaekubalika mno, kitaifa na kimataifa katika kazi za kisiasa, kiuchumi na kijamii duniani kote...
Baada ya kuona hilo jina nikajua moja kwa moja aliyeleta hii mada na mgonjwa wa akili.maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum
Diamond ni nani labda? Embu tutolee ujinga. Kwani Kila mwenye vihela ana akili?Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.
Naomba kuwasilisha.
Mkuu tupia kifungu icho kama utojaliAmefanya kazi gani mmam wetu huyu
Kuna mtu leo kanipa elimu kidg sana ya katiba nakagundua kuwa Samia hakustahiki kuwa rais alipazwa kubaki na unakamu wake tu Hadi amalize ,hiz lawana. Anatupiwa CD F mabeyo kwa kushindwa kuelewa katiba inasemaje ,kumbe cdf Hana elimu Bora ya Katiba ndio maana Samia Ni rais kwa sababu zake Wala siyo katba imemuweka amewekwa kwa matakwa ya cdf asiye na ufahamu sahih na Mambo ya kikatiba na sheria
Naunga mkono hojaSSH ni MwanaMama shupavu na madhubuti, Rais na PHd Dr. msikivu sana, makini, mwenye maono, hodari na mahiri sana anaekubalika mno, kitaifa na kimataifa katika kazi za kisiasa, kiuchumi na kijamii duniani kote...
Amekuomba hela ya chaiHangaika na maisha yako dogo