Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

Kuna mambo mengi sana yana chosha Tz,tuna mambo mengi sana ya kudeal nayo..........tuache haya maupuuzi
 
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.

Naomba kuwasilisha.
Mama ni mke wa baba,uwepo wa Baba wa Taifa je mnataka kuwafungisha ndoa hawa watu kimya kimya ?
Tuanzie hapa kwanza
 
SSH ni MwanaMama shupavu na madhubuti, Rais na PHd Dr. msikivu sana, makini, mwenye maono, hodari na mahiri sana anaekubalika mno, kitaifa na kimataifa katika kazi za kisiasa, kiuchumi na kijamii duniani kote...
Usisahau kuwa ndiye aliyemleta Bashite
 
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania,
2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora na ya kutukuka mno hadi sasa,
3. Ameunganisha nchi.
Tuongeze sababu zingine ili mswada uwasilishwe bung
eni na kuwa sheria.

Naomba kuwasilisha.
Diamond ni nani labda? Embu tutolee ujinga. Kwani Kila mwenye vihela ana akili?
 
Amefanya kazi gani mmam wetu huyu

Kuna mtu leo kanipa elimu kidg sana ya katiba nakagundua kuwa Samia hakustahiki kuwa rais alipazwa kubaki na unakamu wake tu Hadi amalize ,hiz lawana. Anatupiwa CD F mabeyo kwa kushindwa kuelewa katiba inasemaje ,kumbe cdf Hana elimu Bora ya Katiba ndio maana Samia Ni rais kwa sababu zake Wala siyo katba imemuweka amewekwa kwa matakwa ya cdf asiye na ufahamu sahih na Mambo ya kikatiba na sheria
Mkuu tupia kifungu icho kama utojali
 
SSH ni MwanaMama shupavu na madhubuti, Rais na PHd Dr. msikivu sana, makini, mwenye maono, hodari na mahiri sana anaekubalika mno, kitaifa na kimataifa katika kazi za kisiasa, kiuchumi na kijamii duniani kote...
Naunga mkono hoja
 
Kwa hiyo diamond akisema
Ndiyo nchi ifanyie maamuzi ushauri wake 😄

Ova
 
Hawa wasanii ndio maana hata wakikosa tuzo huko nje mashabiki zao wanafurahia kwa sababu ya upumbavu kama huu, yani badala ya kuwa upande wa wananchi wanaamua kuwa machawa wa viongozi pamoja na matatizo yote yanayoendelea nchini wao wanajitoa ufahamu na kusifia ujinga, wabongo tungeamua kuwa serious na hawa wasanii wangenyooka sema ndio vile tena mashabiki wenyewe nao ndio wale wale akili zao kama za wasanii wao tu
 
Kwan ww huna mama ad umfanye uyo kua mama yako
Wenzako wanasema ivyo wanamaslai ww unaleta uchawa
 
Back
Top Bottom