MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

Mgogo lofa sana

Aliomba msamaha kwa swala la kijinga na amejiuzulu kwa swala la kijinga
 
Atawekwa spika mwingine
 
Utulivu atachukua kiti cha uspika, na kisha kijana mpendwa (wa mchongo) atapendekezwa kua naibu.
Baada ya hapo Mgogo ataanza kuugua na kabla ya 2025 atang'ata shuka wakati chama chao kikiwa kime pata ombwe la mpasuko.
NAHISI NIMELEWA...
Naibu spika anachukua nafasi kikatiba? Sijui utaratibu upoje
 
Utulivu atachukua kiti cha uspika, na kisha kijana mpendwa (wa mchongo) atapendekezwa kua naibu.
Baada ya hapo Mgogo ataanza kuugua na kabla ya 2025 atang'ata shuka wakati chama chao kikiwa kime pata ombwe la mpasuko.
NAHISI NIMELEWA...
Jamani
 
Ukiona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea na ambao unapaswa kuwa huru ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa na kubidi ajiuzulu huku wananchi wanakenua meno, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…