MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

Leo unamtetea Ngugai? Ni maajabu
 
Na ndyo ilikua mara ya kwanza Rais kufia madarakani .Na Bado vitu vingi vitabadilika Sana ndani ya hii miaka .Na katiba mpya inakalibia.
CCM wameiharibu sana nchi, kulianda makundi wengine wakajiita wanamtandao. Ikaja mgawanyiko wa kikanda tukapata Sukuma Gang na sasa kuna wa Bara na wa Visiwani.
 
Na bahati mbaya kwa mujibu wa kanuni za asili kitu kikishakufa hakifufuki..
 
Kweli Rais ana nguvu sana lakini kwa Samia huu ni wakati mgumu sana kwake kwani hatima ya URAIS wake ustategemea sana uamuzi wake wa jinsi atakavyolisuka Baraza lake jipya la mawaziri!
 
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.

Sisi kama wananchi tulipaswa kulinda mihimili kuhakikisha kuwa inakuwa huru pamoja na kuhakikisha kuwa tunakuwa na mfumo unaolinda mihimili badala ya kuhangaika na mtu(Ndugai).

Ujinga uliofanyika wa Ndugai kujiuzulu kwa sababu tu alitoa maoni yake kama mhimili huru itampa Rais kiburi zaidi cha kuendelea kunyanyasa mhimili wa Bunge pamoja na mihimili mingine.
 
Bora taifa life lakini siyo Ndugai awe Spika bora tuweke hata mbwa
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.

Sisi kama wananchi tulipaswa kulinda mihimili kuhakikisha kuwa inakuwa huru pamoja na kuhakikisha kuwa tunakuwa na mfumo unaolinda mihimili badala ya kuhangaika na mtu(Ndugai).

Ujinga uliofanyika wa Ndugai kujiuzulu kwa sababu tu alitoa maoni yake kama mhimili huru itampa Rais kiburi zaidi cha kuendelea kunyanyasa mhimili wa Bunge pamoja na mihimili mingine.
 
Ni wakati wa nchimbi kuwekwa ili amsafishie Njia mama hapo 2025?na yeye alipwe fadhila ya umakamu wa Raisi kama mgombea mwenza??Tuone sasa hatma ya maamuzi haya!! Je The State wameridhia maamuzi ya kumuondoa spika kisa maono yake???je Mama atatengenezewa kashfa ya rushwa kisa kulazimishwa na wenye dola kujiuzulu uraisi wake???ngoja tuone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…