MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

HATUA inayofuata sasa ni zamu ya Sirro kuondoka,na yeye atupishe tunasafisha "sukuma gang"
 
Apelekwe mahakamani akatueleze bilioni 12 za matibabu zilitumikaje
 
Tutalikumbuka bunge lake dhaifu
 

Duh! Wewe bado hujasoma alama za nyakati. Bado unatumia vitisho?. Ulimsikia Rais kwenye hotuba yake alivyosema. Adui yake sio upinzani ni kijani mwenzake. Haya bwana muda utasema.

Mimi nadhani karma imempiga Ndugai kwa Yale aliyowafanyia upinzani na mengineyo leo yupo nje wanamcheka tu. Mama akitumia approach unayosema atafika mwaka 2025 amechoka Sana na karma itamtandika tu. Cha msingi Rais akae na wapinzani awasikilize madai yao basi. Kama Rais amekuwa na mgogoro na speaker Halafu kesho awe na mgogoro na wapinzani wewe unategemea Nini kitatokea.
 
Alisema mnamshambulia kwa kuwa yeye ni Mgogo, huenda kajiuzulu kwa hilo. Mbona Malechela hakujali ukabila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…