Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #21
nyiokunda karibu Sana mkuu, unasuggest benki ipi 10M-100M na 100M-500M hapo kwenye kufinance biashara tofauti pengine wanafanya diversifying ya portfolio zao.Mkopo unakupeleka juu , nikiwa kama mdau wa bank , kuna watu wanakopa then wana finance biashara nyingine tofauti na aliyo izoea hapo lazima ufilisike . Unapoombwa bank statement ya mwaka, legal docs kama Tin , tax clearance, lease agreement leseni pia lazima ijulikane working capital na business capacity ya mteja. Kwa kampuni hiyo Audited financial statement ni muhimu.
kuna tajiri namfahamu alikopa kupitia biashara ya Pharmacy akajenga hoteli kubwa. Alilipa vizuri kabisa