Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Matajiri wa mabasi hapa tz ,waliokopa benki ,asilimia Zaidi ya tisini wamefirisikaMkuu Kwema lakini? Unaweza kunipa mfano wa Tajiri yeyote unayemfahamu ambaye hajawahi kukopa? MMOJA TU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matajiri wa mabasi hapa tz ,waliokopa benki ,asilimia Zaidi ya tisini wamefirisikaMkuu Kwema lakini? Unaweza kunipa mfano wa Tajiri yeyote unayemfahamu ambaye hajawahi kukopa? MMOJA TU
Mkuu ubarikiwe kwa feedback nzuri, unasema hiyo 36M ilikuwa ni mkopo wa mara ya kwanza? Ushawahi kukopa benki nyingine?Asante mkuu, nipo kwenye biashara full-time. Huko ABSA mashaeti yao kwa biashara ni lazima uwe na collateral, documents zote ziwe sawa na pia mkopo uwe ni wa kuendeleza biashara. Nilichopenda kwa hiyo benki ni kwamba hakuna adha ya mafoleni na pia customer service ipo vizuri. Isingekuwa mkopo wa awali nigekuwa na akaunti huko.
Wote wanakopa, hata kama una Cash, huwezi kuagiza mabasi 50 kwa Cash. Huwezi kujenga ghorofa 15 kwa Cash lazma ukweli usemwe Hakuna muhasibu atakushauri kutumia CashMatajiri wa mabasi hapa tz ,waliokopa benki ,asilimia Zaidi ya tisini wamefirisika
Unamaanisha kukopa ni dhambi au?Uchumi wa kukopa ( uchumi feki ) ni uchumi wa mababiloni wanaotenda maovu kwenye anga la washenzi kama ilivyo kwenye kitabu cha "the richest man in Babylon".
Lakini "The richest man in Roma or Israeli ; akili asilia aliyopewa na Mwenyezi-Mungu ndio mtaji . Huu ni uchumi halisia au orijino kwenye anga la neema ya Mungu . The word "capital ( mtaji )" originated from a latin word "capitalis" which means " ...of the head(brain)." Capitis which means of or pertaining to the head ( brain ) . Maana rahisi ya Ubepari ( capital-ism) ni kutumia akili asilia iliyowekwa na Mwenyezi-Mungu kwenye ubongo toka wakati mtu anazaliwa .
Luka 12:34- Pale ilipo hazina yako ndipo pia utakapokuwa moyo wako .
Hapana, mkopo wa awali ulikuwa 10m, huo ni wa pili.Mkuu ubarikiwe kwa feedback nzuri, unasema hiyo 36M ilikuwa ni mkopo wa mara ya kwanza? Ushawahi kukopa benki nyingine?
Mkuu , kuwa Makini baadhi ya matajiri Wana hisa nyingi kwenye hizi benki, kuna kipindi nilimsikia mengi akisema huwezi kufanikiwa bila kukopa wakati yy alipo ana hisa kwenye mabenki karibia yoteWote wanakopa, hata kama una Cash, huwezi kuagiza mabasi 50 kwa Cash. Huwezi kujenga ghorofa 15 kwa Cash lazma ukweli usemwe Hakuna muhasibu atakushauri kutumia Cash