Mjadala: Benki nzuri kwa mikopo ya wafanyabiashara (15m-500m)

Mkuu ubarikiwe kwa feedback nzuri, unasema hiyo 36M ilikuwa ni mkopo wa mara ya kwanza? Ushawahi kukopa benki nyingine?
 
Unamaanisha kukopa ni dhambi au?
 
Wote wanakopa, hata kama una Cash, huwezi kuagiza mabasi 50 kwa Cash. Huwezi kujenga ghorofa 15 kwa Cash lazma ukweli usemwe Hakuna muhasibu atakushauri kutumia Cash
Mkuu , kuwa Makini baadhi ya matajiri Wana hisa nyingi kwenye hizi benki, kuna kipindi nilimsikia mengi akisema huwezi kufanikiwa bila kukopa wakati yy alipo ana hisa kwenye mabenki karibia yote
 
Shida watu wanakopa kwa ajili ya consumption

Lazima ulie

Kopa kwa ajili ya production,otherwise you are in deep trouble
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…