Pale hatuna bungu.Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi wamejikita kujadili tu marekebisho kuhusu Wakurugenzi na Jinsia.
Kuna ushauri uliotolewa na wadau kama upatatikanaji wa Mwenyekiti, Wajumbe wa Tume haya yote sijasikia yakijadiliwa. Pia walishauri Mkurugenzi wa Tume anapatikana kwa njia gani haya yote sijasikia yakijadiliwa.
Naombeni mnishauri mjadala Bungeni yamelenga marekebisho yapi?.
Hao wanaojadili ndio wenye nchi sasa sisi tutasema lipi watusikie huku wakiwa wamejifungia gubi gubi ndani ya mjengo wao.Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi wamejikita kujadili tu marekebisho kuhusu Wakurugenzi na Jinsia.
Kuna ushauri uliotolewa na wadau kama upatatikanaji wa Mwenyekiti, Wajumbe wa Tume haya yote sijasikia yakijadiliwa. Pia walishauri Mkurugenzi wa Tume anapatikana kwa njia gani haya yote sijasikia yakijadiliwa.
Naombeni mnishauri mjadala Bungeni yamelenga marekebisho yapi?.
Nami nimestaajabu. Dunia ya leo ya kina Netanyahu,Putin, Hamas, Biden nk bunge letu linapitisha mswada wa kuzuia mwanamke kuombwa ngono ili apitishwe kugombea. Ni aibu kubwa!!!Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi wamejikita kujadili tu marekebisho kuhusu Wakurugenzi na Jinsia.
Kuna ushauri uliotolewa na wadau kama upatatikanaji wa Mwenyekiti, Wajumbe wa Tume haya yote sijasikia yakijadiliwa. Pia walishauri Mkurugenzi wa Tume anapatikana kwa njia gani haya yote sijasikia yakijadiliwa.
Naombeni mnishauri mjadala Bungeni yamelenga marekebisho yapi?.
Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi wamejikita kujadili tu marekebisho kuhusu Wakurugenzi na Jinsia.
Kuna ushauri uliotolewa na wadau kama upatatikanaji wa Mwenyekiti, Wajumbe wa Tume haya yote sijasikia yakijadiliwa. Pia walishauri Mkurugenzi wa Tume anapatikana kwa njia gani haya yote sijasikia yakijadiliwa.
Naombeni mnishauri mjadala Bungeni yamelenga marekebisho yapi?.
Hawajielewi, hao kwa hiyo usitarajie maajabu hapo. Ila watu kama hao wamejihakikishia kuwa wataendelea kutawala milele kitu ambacho sio kweli. Wakitoka madarakani hao kwa namna yoyote ile, wakalazimika kukaa upande wa pili watapiga kelele kudai haki hiyohiyo wanayoikatalia wao leoMkuu hongera kwa kusikiliza hilo bunge, je ulitarajia kusikia tofauti na hicho ulichosikia?
Wanaojadili ni wa chama kimoja!una ushauri uliotolewa na wadau kama upatatikanaji wa Mwenyekiti, Wajumbe wa Tume haya yote sijasikia yakijadiliwa. Pia walishauri Mkurugenzi wa Tume anapatikana kwa njia gani haya yote sijasikia yakijadiliwa.