Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

Sexually abuse nineisikia, sikuhizi ndiyo silaha kubwa.
 
In Tanzania we know election results in advance, and if CCM is not the winner we will repeat election.
 
Tanzania is a sovereign State, Tanzania ndiyo stable country katika Hali ya usalama na utulivu wake, usalama wake unasababishwa na sensitivity yake katika mambo ambayo ni hatari Kwa usalama wake,hivyo Tanzania ipo makini sana,kwa wale wote wanaotoa kauli hatarishi zinazoweza kuhatarisha usalama wetu,usalama wetu ni jukumu wanausalama wetu na watanzania kwa ujumla,----our stability and security should be number one concern on their poorly debate----
Security of our country is numbers one concern,and this should be known first!✔️
#One who love this country 🇹🇿
 
Hawa nao Wala hawana uhalali wa kujadili demokrasia ya nchi yetu ilhali wenyewe hawaifati, wangekuwa wanafuata Sheria na mikataba ya kimataifa wasingeruhusu yanayoendelea Mashariki ya Kati, Ukraine na maeneo mengine. Narudia tena hawana uhalali wa kuijadili Tanzania Kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom