Tanzania is a sovereign State, Tanzania ndiyo stable country katika Hali ya usalama na utulivu wake, usalama wake unasababishwa na sensitivity yake katika mambo ambayo ni hatari Kwa usalama wake,hivyo Tanzania ipo makini sana,kwa wale wote wanaotoa kauli hatarishi zinazoweza kuhatarisha usalama wetu,usalama wetu ni jukumu wanausalama wetu na watanzania kwa ujumla,----our stability and security should be number one concern on their poorly debate----
Security of our country is numbers one concern,and this should be known first!✔️
#One who love this country 🇹🇿