Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii tuko sambamba, ndio taste yangu haswaa, yaani napendaga wale wabishi, wajuaji, watata,
Najiona km niko paradise. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hutaki wapole uwamanipulate? Hawa kina kiranga mi siwezi unabaki kunywea tu kama majani ya mabogaπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
 
Hii pride ilinikuta wakati fulanii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie sikumlamba block, nilimchana kavu kavu.

Nilimuambia "yaani mie kupambana na msuli wa PCM advance, chuo kupambana na Engineering afu leo uje unigalagaze wee wa Accounts? Engineers wameisha Duniani hapa? Em huko bhana wee nipotezee"

Na hapo tulikua tushachombezana sana video call, voice chat, etc.
Siku ya kwenda kujunjana ile enyewe, akili ikasanukaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nahisi mimi ni mbinafsi najipenda mwenyewe..!!
 
Unadharau sana cocaπŸ₯²
 
Hutaki wapole uwamanipulate? Hawa kina kiranga mi siwezi unabaki kunywea tu kama majani ya mabogaπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
Kuna utofauti wa upole na ukimya? Ktk utata, ubabe, ujuaji, awe na ukimya ndani yake.
 
😹😹😹😹
Wewe sasa udugu tuko same boat

Kuna mtu nilimkataa yeye mwenyewe alijishangaa nimemkataa vipi na status aliyokua nayo!!

Yani mimi mwanaume ambaye anapita bila kupingwa sijawahi kumuelewa, mwanaume lazima upambane.
Halafu napenda anizidi kila kitu 😹😹
 
Ewaaaa!!! Hapa tunaenda ulalo ulalo.
Yaani mwanaume wangu anizidi kila kitu. Hii ndio principle yangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni nzuri sana! Naona saa nyingine ni heri kuwa mbinafsi tu kuliko kuendekeza kupenda watu umekutana nao dunianiπŸ˜…
😹😹😹 Hii tabia nzuri inapunguza dharau kwa wanaume..!!
 
Ewaaaa!!! Hapa tunaenda ulalo ulalo.
Yaani mwanaume wangu anizidi kila kitu. Hii ndio principle yangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unakuwa na mbabu kama kiranga hakuna asichojua chini ya jua. Hata ukimpa chuchu anajua kulinyonya vipi utoe miguno 😹😹
Ukikata kiuno anajua akuweke mkao upi moto uwake na elimu unaongezewa free awww πŸ₯°πŸ˜πŸ˜

Babu Kiranga njoo nakusubiri unitafune mpaka mifupa πŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Usisahau trip ya kwenda kututua NY, hakikisha anavyorudi kwa Sope wa kizungu tunatembea nae woteee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaaa hapa lazima aje kwakweli unajua kutaka watu wenye pawaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…