Nilishawahi kutana na wa hivi nikasema leo nikajionee maajabu ya dunia! Hmm hmm ana kitunguu mwanangu๐คฆ๐ฝโโ๏ธ๐น๐น๐น Au mwanaume 24/7 yeye anaongelea siku ukimpa kei atakachokufanya..!!
Watu Kama hawa kwanza wana mchango mdogo kwa taifa, siwezi kabisa kumtilia maanani namuona maisha yamempiga mpk kwenye ubongo..!!
Unamuwashia moto bila sababu haelewi kosa lake nini kama una mimba changa hivi๐Ndo vizuri fulo kuchukuchukaa ndani ya husiano ๐๐๐๐๐
Eeenh๐
๐น๐น๐น Nimeona huyo rafiki yake tajiri wa mafuta hanipi bora tumalizane na yeye mwenyewe..!!Usisahau trip ya kwenda kututua NY, hakikisha anavyorudi kwa Sope wa kizungu tunatembea nae woteee.
๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐ naelewaa mahi, full kutoa heka heka ndani ya JF.๐น๐น๐น Nimeona huyo rafiki yake tajiri wa mafuta hanipi bora tumalizane na yeye mwenyewe..!!
Uduguu kiranga wako mi nachangamsha kijiwe, napenda tu kumtania kiranga mzee wa NYC
Yaani ๐๐๐๐๐๐Unamuwashia moto bila sababu haelewi kosa lake nini kama una mimba changa hivi๐
๐๐๐๐๐๐๐๐Nilishawahi kutana na wa hivi nikasema leo nikajionee maajabu ya dunia! Hmm hmm ana kitunguu mwanangu๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Sasa hao wenu si ntapigwa mabao mimi๐Yaani ๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐ sema ndo inakuaga trury love.Sasa hao wenu si ntapigwa mabao mimi๐
Huyo mzee full package, vitu vyangu kabisaa ๐น๐น๐นHahahaaa hapa lazima aje kwakweli unajua kutaka watu wenye pawa๐
๐น๐น๐น Hebu elezea vizuri ๐ช utoe machunguNilishawahi kutana na wa hivi nikasema leo nikajionee maajabu ya dunia! Hmm hmm ana kitunguu mwanangu๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Mgonjwa mwingine huyu hapa๐คฃ๐คฃ๐คฃNjoo bonyokwa huku wakaka tunawanywa km soda tukimaliza tunatupa chupa na teke ๐น๐น๐น
Mimi naweza nikampenda mtu vizuri lakini hiyo mtu kunivua nguo zangu atasubiri sana..!! Tena akiniambia njoo sijui tufanye hivi aiseee siendi na siku hiyo hiyo penzi linakufa. Hii kitu kuna siku nitaiandikia uzi nijue km wapo wenye hili tatizo au ni mimi tu..!!
Kuna mwanaume nilikuwa nampenda vizuri. Tunataniana kimahaba vizuri tu.!!
Siku moja aliniambia tukutane sehemu moja katikati ya jiji kwenye hotel moja hivi.
Nilifurahi hiyo siku nikajiandaa, huwezi amini nikafanya shopping ya nguo, viatu na accessories kabisa. Na zawadi nikambebea. Nakumbuka nilimnunulia iPhone 14 Pro Max (Hapa kwanza ncheke) sijui nini kilitokea. Nikaita msusi anisuke home. Nikapendeza balaa!! Nilitaka kumvuruga babe.
Sasa si unajua wanawake na vioo.
Nikarudi tena cha mwisho mwisho nijiangalie nikajiona kwa namna nyingine.
Hivi huu Uzuri na urembo wote nikampe yule tumbili anisalaule, anichungulie na kunibinua binua then what??
Nikaona huku ni kujikosea heshima mwenyewe. SIWEZI
Nikavua nguo na makorokoro yote. Simu nikampa kijana wangu wa dukani ambaye nikisafiri anasimamia biashara zangu.
Picha likaishia hapo na yule bwana nikamlamba block. ๐น๐น๐น
Kule hamna mpya siku hizi naona wanarudia matapishi. Nilimuona yule mwingine mjanja kumbe ni bora ya shangazi alooo..!! ๐น๐น๐น๐๐๐๐๐๐๐ naelewaa mahi, full kutoa heka heka ndani ya JF.
nimemic shengesha za Selfikaa. Woiiiih
Wee mzee huku umefata nini? ๐น๐นMgonjwa mwingine huyu hapa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Aisee mimi Kupigwa sitaki ntakujazia nzi bure๐๐๐๐๐๐ sema ndo inakuaga trury love.
Mie na mwenzangu tunasemaga, sisi sio wapenzi, ni kundi la wahalifu.
๐๐๐๐๐๐
Khee huyo anawezana na wewe๐ mzee mjuaji hakuna asichokijua mbishi! Anamanipulate huyoo๐๐พHuyo mzee full package, vitu vyangu kabisaa ๐น๐น๐น
Picha linaanza wa kishua afu mjanja.
Huyo kazamia maandishi matatu kitambo, humdanganyi kitu..!!
Kaa kwanza unywe maji kdg dada๐๐น๐น๐น Hebu elezea vizuri ๐ช utoe machungukaza mkono sit
Mbona mnatukosesha udaku lakini๐Kule hamna mpya siku hizi naona wanarudia matapishi. Nilimuona yule mwingine mjanja kumbe ni bora ya shangazi alooo..!! ๐น๐น๐น
Wewe unaumwa wala sio kingine, huwezi kujiparua, umenyoa kipapa kabisa watu wakakifurahie eti from nowhere unakata mood.Wee mzee huku umefata nini? ๐น๐น
Huo sio ugonjwa ni kujipenda mwenyewe bhana..!!
Kwanini unawaza papa tu๐Wewe unaumwa wala sio kingine, huwezi kujiparua, umenyoa kipapa kabisa watu wakakifurahie eti from nowhere unakata mood.
Watu kama nyie mkiingia kwa ndoa mnakuwa wanyimi sana wa papa๐คฃ