Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Hii imekuuma kutoka moyoni 😹😹
Kipapa changu nakipenda aisee kukigawa nakionea huruma..!!!

Mzee unapenda vipapa weyeee.!! 😹
Ulitaka nipende nini, kama pesa sina nifurahie kitu gani duniani!!
 
😹😹😹😹 Kwahiyo fundi haliki kwa chumvi? Nimecheka sana’a

Mimi nna ako katabia naweza nikakipenda kitu sana!! Nitakipigania mpaka nikipate halafu nikikipata nakichukia nachoma moto au nakigawa..!!
Sasa wewe ndo fala mwenyewe unakichoma tena!!! 😀😀
 

Niliachana na mwanamke aliniambia her fantasy ni kupiga one night stand. Aone inafeel vipi asubuhi kila mtu na mishe zake tena hata majina hamjuani na hamjaexchnge namba za simu. Ah kulaleki
 
Kule hamna mpya siku hizi naona wanarudia matapishi. Nilimuona yule mwingine mjanja kumbe ni bora ya shangazi alooo..!! 😹😹😹
😂😂😂😂😂 ktk ile Crew, mjanja ni m1 tyuu, yule dada sio wa kispoti spoti.
Kanyooka mnoo, hana uswahili kabisaa.
Yule wa kunyumba ndo hata heka heka hakuwahi jihusisha nazo. Lol.
😂😂😂😂😂😂
 
na ukimuua je?, au anataka kufa huyo?
 
😹😹😹 Yani ni majinga sijapata kuona..!!
Shanga kajichukulia ushindi wa mezani bila kutumia nguvu nouma sana..!!

Nimekubali maneno ya penso kwamba njaa nyingi yule ila ana pretend tyuu..!! 😹😹
 
😂😂😂😂😂😂😂 naelewaa mahi, full kutoa heka heka ndani ya JF.
nimemic shengesha za Selfikaa. Woiiiih
Ulipostigi tu kwato twako kule selfika. Dah, kuna mwamba anaishi kabisa na wewe.

Dah Mungu akusaidie.
 
Ni muda Sasa tangia nianze kuona huu Uzi, sijawahi kufungua kujua Kuna Nini ndani, Dr. Mariposa "sex fantasy" ni nini?
Kitu unachofikiria au kukitengeneza kihisia ukifanye lakini huwezi kwasababu aidha hakipo au kwa mazingira uliyopo huwezi kukipata au ulikitengeneza akili ukifanye na unakifanya
 
Lamomy upo kwenye list yangu we subiri tu siku nakupigia twen'zetu Dubai nikakukojoleshee😂

Kabisa mtu ukiwa na pesa kuna mawazo mawazo ya ajabu yanakuja ndio maana matajiri wana starehe za ajabu sana
 
Shule zifunguliwe
 
Kitu unachofikiria au kukitengeneza kihisia ukifanye lakini huwezi kwasababu aidha hakipo au kwa mazingira uliyopo huwezi kukipata au ulikitengeneza akili ukifanye na unakifanya
Basi sexual fantasy yangu Kuna jamaa ameigusia ndege JOHN japo sijawahi kuipata ila one day yes
🙏
 
Astaghfirullah 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…