Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Ila tuachane tu na wasanii maana hawana utofauti na wasichana wengine sabosabo tujikite kwenye ushauri wa namna ya kuondokana na tatzo la punyeto
Delete picha za ngono kwenye simu yako, na vunja DVD za ngono pia. Usipende kukaa mazingira ya peke ako, epuka stress, kuwa bize na utafutaji, fanya mazoezi
 
Unafanyaje hiyo punyeto mkuu unatumia miundo mbinu gani na unafanyia mazingira gani?
 
Kwanza unafanya kosa kubwa sana kujutia...uko sahihi kabisa we endelea kupiga tu hiyo kitu ni nzuri....Ukiacha alaf ukagundua huyo mkeo nae huwa anakunjwa ukimaliza tu kumkunja ndo utajinyonga kabsa...sasa hiv ukigundua unafukuza unaendelea na punyeto na kujenga taifa
 
Kwa kweli zamani nilikuwa natoka na watoto wakali sana [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Nimeona hyo picha ya sanchi ila jamani tupeane ushauri wa kuondokana na tatzo na sio kutuma picha na wale mnaoendelea kunipa ushauri mzuri nashukuru sana
 
sorry sina kumbukumbu ya kadi yako.....members no?? CHAPUTA.....anyway amua once unaweza.....ila nadhani wewe umepitiliza....ile kitu ni andasi kiaina tuu....mikono itapata mimba broo.....amua then acha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…