Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahabahahahah umemaliza kila kituVitu ambavyo unaweza kuacha kwa hiari
1. DHAMBI
2. POMBE
3. SIGARA
4. UMALAYA
5. BANGI
6. NK
Lakini so PUNYETO ndugu, nyeto ni kama CCM haiepukiki ispokuwa unaweza kustaafu kwa muda mrefu kutokana mazingira utakayokuwepo.
Ukitaka kustaafu kwa muda mrefu tafuta msichana ambae anapenda kufanya mapenzi mara kwa mara, hapo utastaafu hadi pale mtakapoachana then unarudi kwenye chama kukutana na wanachama wapya
Pole sana hili gemu linachezwa kwa makin ukiruhusu likuzoee utajuta... Kwa kifupi huna tofauti na mvuta bangi au mtumia madawa...Habari ndugu zangu Leo Nina jambo nahitaji ushauri wenu wa kisaikolojia jambo lenyewe ni Punyeto yaani Punyeto imekuwa Punyeto imefikia wakati sasa kila siku lazima nitumie picha kutoka Instagram za wadada wanaovaa nguo za utupu kupiga punyeto sana sana wasanii na wengineo .Ninaye mpenzi ninayempenda na huwa tunafanya mapenzi lakini nikiachana naye tu lazima nipige punyeto tena hapo ndo natosheka zaidi.Naomba msaada wenu katika hili.
Lakini ni wale tu wanaokaa uchi na mda mwingine usiku naota Niko nao hadi napiz mwenyewe sasa sielewi ni kitu gani kinanisumbua ningependa kupata ushauri wa namna ya kutatua hili tatzo.Kwahiyo Mkuu umepiga saana wasanii?Hongera sana
Asante nawezaje kuondokana naloJini mahaba hilo, baya sana na lina nguvu kubwa ukikubali likutawale kama hivo kwa mujibu wa maelezo yako. Ndoa nyingi sana na mahusiano huvunjika kwasababu hiyo. Likatae kabla halijakudhuru kiasi cha kukuharibu
Mkuu,hongera saana,maana hao wasanii kuwapata siyo rahisi,ila wewe unawapiga burebure!Lakini ni wale tu wanaokaa uchi na mda mwingine usiku naota Niko nao hadi napiz mwenyewe sasa sielewi ni kitu gani kinanisumbua ningependa kupata ushauri wa namna ya kutatua hili tatzo.
Asante sanaHii kitu imeua mahusiano ya wengi...ngoja wakuje wataalam kwa ushauri zaidi.
Lakini ni wale tu wanaokaa uchi na mda mwingine usiku naota Niko nao hadi napiz mwenyewe sasa sielewi ni kitu gani kinanisumbua ningependa kupata ushauri wa namna ya kutatua hili tatzo.
Miaka kumi sasaUlianza lini