Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,026
- 1,706
Kuacha sio rahisi kama utoamua MWENYEWE KUACHA...
Kwanza kabsa Kuwa na hofu kwa Mwenyezi Mungu utambue kila unacho fanya akimpendezi Mungu, Jitahidi kufanya maombi na kama ulikua uendi kanisani Mh itakubidi UENDE umkumbuke Mungu wako naamini utasahau kabsa kucheza huo mchezo...
Cha pili ni MAZOEZI tumia mda mwingi kufanya mazoezi either playing football, jogging etc.
Punguza kuangalia picha au video zinazolete msisimko katika mwili wako eg. porno
KILA LA KHERI