njaakali minja
Member
- Aug 4, 2018
- 37
- 7
Ungejua madhala yake usinge piga punyetoEpuka ukimwi na magonjwa ya zinaa. Piga magoli ya mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua madhala yake usinge piga punyetoEpuka ukimwi na magonjwa ya zinaa. Piga magoli ya mkono
Ndiye huyu huyu kaja anayeonekana humu kwenye hii thread. Wewe unaona kuna wa kuweza haya matibabu kweli, yaani unapewa matibabu ili ukosee akwambie wewe ndo ulikosea ili usimlaum kwa lolote.Huyu jamaa aliishia wapi hivi?
great.........Ndiye huyu huyu kaja anayeonekana humu kwenye hii thread. Wewe unaona kuna wa kuweza haya matibabu kweli, yaani unapewa matibabu ili ukosee akwambie wewe ndo ulikosea ili usimlaum kwa lolote.
Na kushindwa kusimamisha uume mbna ukumbuki na kuwai kufika kileleni mazala yapo mengiIla punyeto haiondoi nguvu za kiume but kukosa mazoezi
Hivi yupo badoMatibabu haya ni kama ya Dkt. Ndodi.
Mi naona unachelewa according to my experience enzi hizo.. Mpaka najiuliza watu wavumbi wanajitesa bureNa kushindwa kusimamisha uume mbna ukumbuki na kuwai kufika kileleni mazala yapo mengi
Faida yake ni kuwa hii inasadia kuipa nguvu mishipa ya uume wako na kuweza kurudisha hali yake ya nguvu kama awali.
Ndodi amepiga ela naona sasa hivi yupo kimya sasaMatibabu haya ni kama ya Dkt. Ndodi.
Ungejua madhara ya ukimwi na magonjwa ya aibu usingesemaUngejua madhala yake usinge piga punyeto
MhUngejua madhara ya ukimwi na magonjwa ya aibu usingesema
Wote wamepiga ila ukiendakeza punyeto inamadhala hatari mwiliniNioneshe kijana wa 29-45 ambaye hajapiga punyeto nami nitakuonyesha wajerumani walipoficha rupia
Kuna kipindi alitaka kufadhili mkutano wa Wasabato, wakamkatali kuwa ni Freemason !!!Ungejua madhara ya ukimwi na magonjwa ya aibu usingesema
Labda useme miaka 21 hadi 30 ambayo ni miaka ya shule, kuanzia 30+ ni miaka ya kuoa, tayari una pesa yako, unapigaje punyeto ilhali una pesa au mke ?Nioneshe kijana wa 29-45 ambaye hajapiga punyeto nami nitakuonyesha wajerumani walipoficha rupia
Unanikosea sasa jamaa angu sihusiani na mtu uliemtaja mbona watu kibao tu wananifahamu hadi jina langu?Ndiye huyu huyu kaja anayeonekana humu kwenye hii thread. Wewe unaona kuna wa kuweza haya matibabu kweli, yaani unapewa matibabu ili ukosee akwambie wewe ndo ulikosea ili usimlaum kwa lolote.
Karne hii unafanya kazi ambayo haina malipo, unakula wapi ?Unanikosea sasa jamaa angu sihusiani na mtu uliemtaja mbona watu kibao tu wananifahamu hadi jina langu?
Nenda jukwaa la Burudani kaka lakini pia sijawahi kuchukua pesa ya mtu na elimu yangu ya darsani na mtaani huwa napenda kutoa bure kabisa bila malipo mwenye kufuata afuate mwenye kuacha aache
So usiwaminishe watu kuhusu ubin wangu ndug