Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

dawa ni kuoa
Unafikiri walio kwenye ndoa hawapigi? Mbona humu humu kuna watu wamedai wako kwnye ndoa na wana michepuko bado wanapiga nyeto?

Ndoa sio dawa, ni kujenga chuki na hiyo kitu ili usiipende tena.
 
Njia sahihi vuta mwanamke gheto kwako ishi nae hata miezi sita

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
hata nyie mnaeza kutoa experience siku hz si mna midori yenu au

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Na dushe ipo kwa ajili gani mpaka nitafute mdoli
 
Naweza kusema kama nimeshajishindwa vile, hii yote ni kwa sababu kwa miaka 17 sasa nimekuwa napiga selfie! Dah hii hatari, niliianzisha hii mada kwa lengo la kupata mawazo mbali mbali toka kwa members wenzangu, binafsi kila siku huwa nasema kesho nitaacha, lakini kwa leo hii siku ya tarehe 15 Jul 2017 natangaza rasmi kuacha selfie.

Na kwa members wenzangu nawashauri muache, kwani ina madhara makubwa sana, madhara niloyapata mimi ni moja ya kama nikipewa papuchi hata sahivi nina uwezo wa kutupia hata vitano, lakini nikitoka hapo huwa nalala si chini ya masaa ma4.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Habari za mda huu wakuu,

Poleni na majukumu ya kujega taifa letu ili, naomba mnishauri ndugu yenu namna ya kuachana huu utumwa.

Huu ni mwaka wangu wa 9 napiga puchu imenikaa kwenye akili kabisa imekua ngumu kuacha, jana ndo mara ya mwisho kupiga, viungio vya mikono na miguu vinauma kwa sababu hii, nnapoelekea ntashindwa kabisa kupiga mechi, sasaivi nikijitaidi sana ni bao mbili, kama nikilala na mwanamke basi bao tatu kwa tabu sana, kinachoniokoa kwenye mechi ni kila bao moja natumia atleast dk 35 laa sivyo ningekua na aibika sana.

Naombeni ushaur wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga mindset yako kulichukia hilo tendo.....hakuna njia nyingine itakayokuokoa
 
Ocran,
Kuna point za uongo humo mtu akipiga punyeto kwa miaka tisa ni hanisi kabisa, kingine mpiga punyeto wa muda mrefu kupiga bao mbili ni hadithi, Tatu huwezi mwendo wa dk 35 kwa sababu hata watu ambao hawapigi wengi wao huku hawafikagi kila round dk 35ni uongo.

JINSI YA KUACHA
Tuliza akili ukijisomea hadithi makali au kucheza michezo mbalimbali

2. piga mazoezi ya kukimbia kwa umbali mrefu kila siku asubuhi

3. Oga maji ya moto kila siku jioni, kwa kuwa umepoteza sana protein nyingi kunywa maziwa kwa wingi hasa ya mtindi, tanga wizi mbichi tafuna, pia mayai ya kienyeji.

4. Tafuta company ya kuspend time

5. Tafuta msichana anayekuvutia mweleze hisia zako awe kama mpenzi wako na kama umeoa chukua muda mwingi wa huba na mkeo ili kuondoa mawazo yenye mvuto hasi.

Mwisho, tambua hiyo ni machukizo mbele za Mungu Baba.

Kila la heli Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
 
Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
Hapa unaomba msaada wa sabuni ama maji?
 
Back
Top Bottom