Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Hii mada mbona leo imeshamiri sana huku JF inamaana vijana kutongoza hamjui au kwanin uteseke wakat papuchi zipo nje nje
 
Mtafute M/kiti wa CHAPUTA ufikishe kero yako
 
nataka niache huu ulevi lakini siwezi
Japo inaonekana kusaidia kweli,ubaya wake matokeo ni mabya mno,
Inakata nguvu za.....
Inasababisha usahaulifu,
Inasababisha ugongwa wa prostatitis
Na ni chazo cha cancer ya tezi!

Aisee wanaume tuna tatizo,haya yote serikali kubana matumizi,watu wabadala ya kuoa tunajichua!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
prostatitis ndo nini?
 
NJAisee mm nikipiga kichwa kinauma kwenye kisogo hafu ubo.. wauma
 
Japo inaonekana kusaidia kweli,ubaya wake matokeo ni mabya mno,
Inakata nguvu za.....
Inasababisha usahaulifu,
Inasababisha ugongwa wa prostatitis
Na ni chazo cha cancer ya tezi!

Aisee wanaume tuna tatizo,haya yote serikali kubana matumizi,watu wabadala ya kuoa tunajichua!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa iyo ata kikwete alipoenda kutibiwa tezi dume inaonekana alikuwa anapiga nyeto sana au?
 
Hili ni tatizo la kisaikolojia mkuu na lina athari kubwa ktk mfumo wa afya ya uzazi hasa kwako so unatakiwa ulitafutie ufumbuzi mapema....

Ila ushauri wangu wa kawaida tu ni kwanza kujaribu kujiweka mbali na vitu ambavyo vinaweza kuwa sababu ya ww kupata muhemko na kujikuta unashindwa kujizuia.

Na pili jitahidi kushindana kifikra na kivuli cha fikra zako coz uhakika ni kwamba hukuzaliwa na hali hiyo bali ulijifunza taratibu mpaka kuwa ivyo ulivyo leo, ni kweli hakuna kitu kigumu km kushindana na kivuli chako ila kwa hili nkushauri namna ulivyojifunza kuanza mchezo huo ndivyo unapaswa kujilazimisha kupunguza idadi ya tendo kwa siku na ipo siku utaacha kabisa.
 
Back
Top Bottom