Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Nioneshe kijana wa 29-45 ambaye hajapiga punyeto nami nitakuonyesha wajerumani walipoficha rupia

Daaah aiseee umenikumbusha tulijikoki kuwafatilia wajerumani flani walikuja kijijini enzi hizo ndo nimetoka chuo nimepewa dili za kuwafatilia , naona wanafata maramani yao tukawaendea kimya kimya tulikua kama wanne ivi, kuna mwenzetu wakamuona alikua mzembe mzembe wajinga wale wakaahirisha zoezi lao wakafunga kila kitu tangu wameondoka sijasikia mpaka leo kama wamerudi
 
Ndugu hii sio ajira nilionayo na hata nikijiajiri bado siwezi kufanya hii iwe ajira
Nimekuelewa, lakini usingesema unafanya bure, bali ungesema unatoa huduma, maana neno bure lina maana kuna gharama ambazo umeeacha.
 
Nimekuelewa, lakini usingesema unafanya bure, bali ungesema unatoa huduma, maana neno bure lina maana kuna gharama ambazo umeeacha.
Mh huduma kwa malipo/bila malipo
Bure bila garama yoyote 😨😨ubaya ni kuwa nilifeli somo la Kiswahili vibaya sana
 
Mmmmh,
Kipi ktaanza?
Uchue dushe kwa ktunguu,
Uchue dushe kwa asali mbichi, na ulambe
Uchue dushe kwa maj ya uvuguvugu,
Mda ule ule,
Sasa next c ktaondoa previous?
Maji sawa na tkt kpande, ndz moja sawa, chungwa inaweza pata, maharage sawa n mboga ya kla cku, km cyo bas hazpt cku 2, maziwa km cyo ya kupata ya mifugo halis, ya dukan itakuwa changamoto,
Pushup na kukimbia cyo garama, garama n mda,
Ok cyo dawa za madukan lkn inaweza kuwa tiba ya garama zaid kukamilisha vyote ulvyo vtaja,

Anyway, wahusika mtakuwa mmemuelewa
 
Daktari mwenyewe kuandika hajui tiba yake utaiamini vp?!.
 
Mleta mada hebu nisaidie; hivi tabia inauhusiano gani na vyakula ?
Mpiga nyeto nikama mvuta bangi au mnywaji wa kileo na siwote wanaoathirika nguvu za kiume na tatizo hili.
Nadhani kinacho ondoa nyuvu za kiume ni tatizo linaloanzia kwenye saikolojia au ugonjwa kama magonjwa sukari na moyo.
Sikuhizi kuna walimu wengi wapotoshaji
 
Wew mwalimu wa ukweli naomba basi utuelimishe na wewe kuhusu hiyo tabia...

Nadhani mada haijajikita kwwnye Puchu peke yake ila na upungufu wa nguvu za kiume
 
Kwa mujibu wa maelezo yako...

Kama tatizo ni mzunguko wa damu kufikia umee hatimae kusimamisha kwa muda mrefu...

Kwa nini mtu mwenye matatizo hayo asiongezewe damu tu iwe nyingi na kusambazwa kwa wingi mwilini...


Cc: mahondaw
 
Naomba unipe maelezo vzr kwny issue ya kuchua uume kwa kitunguu swaumu
 
Nyeto haina shida,shida inakuja pale unapokosea namna yakuifanya.Ndo maana kuna watu wamepiga hii kitu miaka kibao na bado wanapiga nawengine wamepiga kidogo imewashinda.Kinachowafanya wengi wanaonekana wamepungua nguvu zakiume wakiwa na mwanamke ni kwasababu ya saikolojia kwasababu kwamtu aliyezoea nyeto anaona mwanamke sio mali kitu.Ata ivyo sio wanaume wote wanapenda wanawake au kila anapotamani kujamiiana anakua na mwanamke pembeni ndo maana aya mambo yapo nayazidi kushamiri.chamsingi ni watu kuzingatia lishe bora na mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…