Mpiga punyeto ni sawa na mvuta sigara kuacha huwa ni kazi sana ila ukifanikiwa kutimiza haya machache nitayoweka hapa chini unaeza kujiweka katika wakati mzuri wa kuacha punyeto na kurudisha nguvu za kiume kwa njia ya kawaida kabisa
Kikubwa zingatia ndani ya muda wote wa tiba usikutane na mwanamke
Vyakula unavyopaswa kuvitumia wakati kutibu tatizo hilo(unaweza kutumia vyakula vingine ila hiv ntakavyokutajia hakikisha unatumia)
kula ugali wa dona faida yake ni kuwa utaongeza uwezo wako wa nguvu za kiume na mbegu za kiume pia zitaimarika zaimbivu samaki aina zote, maziwa fresh, maharage, kunde, mboga za majani, mihogo, viaz vitamu, tumia mafuta alizeti, ufuta au mawese..
Tumia matunda
parachichi,ndizi mbivu, machungwa,chenza,madalanzi,maboga,tikiti maji,papai,Nana’s,tende,nyanya,pera,kitungu maji,saumu,zabibu,karoti,madafu,bamia,bilinganya.mayai ya kienyeji na n.k
Jinsi ya kuondoa tatizo la punyeto kwa kutumia njia hii unakuwa nguvu ya kuipatia misul nguvu zaidi
Chua uume wako kwa kutumia kitunguu swaumu.
Unatakiwa kipindi chote ukiwa unatumia dozi hii ni unatakiwa kuchukua **** yako kwa vitunguu vyaumu kila siku kabla ya kulala unaweza kutwanga punje kama tank hiv na ukachua vizur. Faida yake ni kuwa hii inasadia kuipa nguvu mishipa ya uume wako na kuweza kurudisha hali yake ya nguvu kama awali.
Unatakiwa kula kalanga Lita 1 kwa wiki kwa hiyo kwa mwez unatakiwa utumie lita 4 za kalanga kwahiyo kwa miez 4 had sita unatakiwa utumie lita 20 had 24 za kalanga.
Unatakiwa utumie tangawiz kila siku.hii ni kwamba unatakiwa utwange tangawiz mbichi na uchemshe kisha kunywa . hapa hutakiwi kuchanganya na kitu chochote kile na unatakiwa ukitumie ikiwa ya moto wastan na sio iwe ya vugu vugu.unaweza kutumia asubuhi au jioni.
Unatakiwa kunywa maji mengi sana kwa Siku ni vyema ukiweza kunywa maji kuanzia Lita 3 had 5 kwa siku hii ni muhimu sana. Unatakiwa kuchukua pia uumee wako kwa asali mbichi sio ya kuchemshwa . chua uume wako kila siku unapo amka na ukisha chua unalamba kijiko kimoja pia chua jion na utalamba kijiko kimoja cha asali.
Jitahid kutumia matikit maji kwa wiki wasta tumia tikit maji 1 kwa wiki moja na matikit maji 4kwa mwez had miez 4au 6itimie unatakiwa utumie kila wiki yai moja au 2 had umalize doz hii ya miez 4au 6.
Unatakiwa kupasha uume wako kwa kitambaa cha moto wastani. Hapa ni hivi, chemsha maji afu yakiwa ya moto wastan utatakiwa kupaka uume wako mafuta ya zaituni na kisha chukua kitamba chako kikiwa cha moto wastan funika uumee wako afu uwe una vuta **** kwa kuvuta kwenda mbele .rudia zoez hili mara 3 .Fanya kila siku had umalize doz .unaweza kufanya muda wowote unaopenda ilimrad una muda.
unatakiwa ufanye mazoez hakikisha kila siku unapiga push up 20 asubuhi na jion 20 na ukiwa na muda fanya zoez la kukimbia au nunua kamba na uruke ruke ukiwa kwako.
unatakiwa ujiamin na kuwa wewe una nguvu za kiume huna tatizo hii ndiyo sharti gumu na ukikosea tu bas hutaweza kupona hata kidogo.
Na tatizo litakuwa kubwa zaid ya awal. Ni hivi kipind chote hiki hutakiwi kufanya mapenz na mtu yoyote yule au kupiga punyeto.
Kwa ukifanya hivyo utakuwa umeharibu tiba yote. Kwa sababu kipind hiki mishipa na viungo vyote vya kiume vitakuwa na kaz moja tu kujenga uwezo wa awal na kurudisha nguvu za awali za kiume hivyo kuipatia nafas mishipa yote kuwa imara na kuimarisha uwezo wa kufanya mapenzi.
Hapa ili uweze kufanikisha hili ni vyema ukajadiliana na mkeo/mpenzi wako kuhusu hili tatizo lako na jinsi unavyotaka kutibu ili uweze kuwa kidume kama awali.
utatakiwa kufanya mazoez ya kegel. Haya ni mazoez maalum ya kujenga uwezo wa mishipa kuwa na nguvu kama kifaru dume.
Mazoez maalum ya kukujenge uwezo na kuupatia mgongo nguvu mazoez haya yatakusadia kuondoa maumivu ya mgongo na pia nakushaur penda kulala kwenye cement au udongo ila pawe tambala na ukiwa na hayo maumivu ya mgongo au kiuno yatapungua au kuondoka kabisa. Unapo lala lalia mgongo huku ukitazama juu unaweza kulala SAA 1 au zaid au ukihitaji mazoez mengine download video za Abs workout level up to 8 six pack.
MBINU ZA KUTIBU TATIZO LA PUNYETO
Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku.
Inaweza kua kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu ue mzuri na wewe usimamishe uumevizuri. Pia zoezi la kegel ni zur zaid kwa kujenga misuli ya uume Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume.
Kula chakula bora cha asili ; vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichicha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume.
Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.
Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume.
Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.
Pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji.