Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Jitakase mwili wako kwa kuogea chumvi ya mabonge mara 3 kwa siku
Jr[emoji769]
 
Tafuta demu... tena demu ambae kila muda atakuwa gheto, kama utaweza kupga punyeto na yeye akiwepo basi utakuwa umerogwa..

Pia, usikae sana peke ako, muda mwng kuwa na marafki
Na tafuta kazi ya kufanya ikueke busy....

Kama huna kazi au uko likizo soma hata vitabu

...
 
Punyeto ni pepo na chakula chake ni manii... Pepo ni roho chafu, kadiri unavyojichua ndio unavyoalika mapepo wengi kwenye karamu ya manii ndio maana inapokuja hamu ya kujichua huwezi kujizuia hata tufanyeje
Chumvi ya mabonge inatakasa mwili na kukukinga na nguvu zote za giza yakiwepo mapepo.. Kitendo cha kuitumia ni sawa na Mmasai kuingia kwenye disco na sime.. Hakuna atakayebaki
Dalili za kwamba mapepo ya punyeto yamekimbia
Utakosa hamu ya kujichua
Hutatamani kujichua tena
Hutaota ndoto mbaya tena
Utalala usingizi mnono bila kustukastuka

mapepo hushikilia hata njia zetu za mafanikio.. In fact huziwekea giza kwakuwa ukiwa busy una mambo muhimu ya kufanya hutapata muda wa kuwaza punyeto na automatically mapepo yatakosa chakula kitu ambacho hayataki hili litokee

Kama wewe ni mwathirika wa punyeto na mambo yako hayaendi na hulalli vizuri huku ukiandamwa na ndoto za ajabu na za kutisha jaribu chumvi sasa.. Hutajuta
Kaka mkubwa, tunaomba utufafanulie kidogo uhusiano uliopo kt ya chumvi na punyeto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mshana bwana !hebu toa elimu iyo mpya
Punyeto ni pepo na chakula chake ni manii... Pepo ni roho chafu, kadiri unavyojichua ndio unavyoalika mapepo wengi kwenye karamu ya manii ndio maana inapokuja hamu ya kujichua huwezi kujizuia hata tufanyeje
Chumvi ya mabonge inatakasa mwili na kukukinga na nguvu zote za giza yakiwepo mapepo.. Kitendo cha kuitumia ni sawa na Mmasai kuingia kwenye disco na sime.. Hakuna atakayebaki
Dalili za kwamba mapepo ya punyeto yamekimbia
Utakosa hamu ya kujichua
Hutatamani kujichua tena
Hutaota ndoto mbaya tena
Utalala usingizi mnono bila kustukastuka

mapepo hushikilia hata njia zetu za mafanikio.. In fact huziwekea giza kwakuwa ukiwa busy una mambo muhimu ya kufanya hutapata muda wa kuwaza punyeto na automatically mapepo yatakosa chakula kitu ambacho hayataki hili litokee

Kama wewe ni mwathirika wa punyeto na mambo yako hayaendi na hulalli vizuri huku ukiandamwa na ndoto za ajabu na za kutisha jaribu chumvi sasa.. Hutajuta

Jr[emoji769]
 
rikiboy naomba nikueleweshe kwa upole.. Pengine hili linaweza kuwa kubwa kwako ndio maana umeandika haya uliyoandika
Punyeto lina mahusiano makubwa sana na mapepo ndio maana kuna watu wana wapenzi permanent na wengine wana wake wa ndoa kabisa na nyumba ndogo juu lakini kuna wakati hujisikia kabisa kujichua kabla ya mechi ama hawaridhiki hata baada ya mechi mpaka wakajikamue kimoja
Na angalia wengi wanaojichua ni under 30 years.. Jiulize kwa nini! Ni kwamba kipindi hiki manii hazijawa nyepesi na bado zina ubora na ni nyingi
Mwisho kabisa kila tatizo huwa na njia nyingi za kutatua hivyo si vema kumpangia mtu ni vema apime mwenyewe achague
Mkuu wewe piga tuu achana na huyuu...Chumvi haizuii kitu cha muhimu aache kuangalia Ponoo na kupiga mastory ya ngono but muhimu sana ATAFUTE DEMU PERMANENT hiyo ndio dawa kubwaa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Iyo chumvi ndo yanamna gani Bwana Mshana? Kwaiyo Kuna manuizo unafanta au inakuaje, unaweza toa mwongozo kamili kuanzia kwenye maandalizi ?
 
Nakubaliana na wewe Mshana

=Mshana Jr, post: 34907793, member: 98741"]
rikiboy naomba nikueleweshe kwa upole.. Pengine hili linaweza kuwa kubwa kwako ndio maana umeandika haya uliyoandika
Punyeto lina mahusiano makubwa sana na mapepo ndio maana kuna watu wana wapenzi permanent na wengine wana wake wa ndoa kabisa na nyumba ndogo juu lakini kuna wakati hujisikia kabisa kujichua kabla ya mechi ama hawaridhiki hata baada ya mechi mpaka wakajikamue kimoja
Na angalia wengi wanaojichua ni under 30 years.. Jiulize kwa nini! Ni kwamba kipindi hiki manii hazijawa nyepesi na bado zina ubora na ni nyingi
Mwisho kabisa kila tatizo huwa na njia nyingi za kutatua hivyo si vema kumpangia mtu ni vema apime mwenyewe achague

Jr[emoji769]
[/QUOTE]
 
Hata usiponuia bado itafanya kazi... Manuizi ni nyongeza tu kwenye mahitaji husika na kuongeza chaji
Iyo chumvi ndo yanamna gani Bwana Mshana? Kwaiyo Kuna manuizo unafanta au inakuaje, unaweza toa mwongozo kamili kuanzia kwenye maandalizi ?

Jr[emoji769]
 
Na sisi tuliopiga master B kwa miaka zaidi ya 15 tunakomenti wapi?
Jisikie huru, ukiwa free utakuwa free ktk kila sector.
Matangazo ya wauza dawa za kuongeza nguvu za kiume yamekuathiri.
Punyeto haina madhara na wala si pepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…