Wakubwa poleni majukumu ya kila siku
sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua
Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena
ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda mrefu,kushindwa kusimama kwa muda mrefu hyo physical lakn hata kiakil imenifanya nasahau mambo kwa haraka,nimepoteza kujiamin muda wote najiona mkosaj
kwa waliocha naomba msaada wa mawazo,ushauri,nk
lakin pia kwa wanaoendelea usijidanganye kuwa hakuna madhara
mimi ni kijana wa miaka 19
nawasilisha