Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Nilikuwa kozi jeshini mara hadi mwezi wa pili inshu haisimami nikahisi nimekuwa hanisi,nilipata mawazo ukabidi niulize wenzangu mana haikuwa kawaida yangu.

Akanijibu rafiki yangu wa kombania ya demo A coy,akaniambia ni shuruba aka msoto ndo unatufanya mashine isisimane,daah nikakubali mana jalamba lilivyokuwa utazani umempa mimba mtoto wa mkuu wa kikosi na hali bado yupo masomoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
hii iliwahi nikuta mkuu,kipindi cha 6wk,yaani unakaa na serengeti hapa na hapa lakini holla,kuwauliza wana hali ni ileile angalau nikapata faraja
 
Baada ya kuangalia madhara yanayosababishwa na kupiga punyeto nilipokea simu nyingi ambazo zilitaka pia niongelee suluhisho au jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto kabisa. Punyeto kama tulivyoongea ni tatizo la kitabia na linaweza kudhibitika kabisa kama matatizo mengine yeyote.

FANYA YAFUATAYO....
Acha kuangalia video za ponograph: video hizi ndio chanzo kikuu cha punyeto kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako.. Weka mipango ya kuzuia kupiga punyeto wakati wa kuoga: bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto...
Wengine tumeshaathiriwa na hiki kitendo tukiona tu sabuni tunasumamisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuacha unatakiwa uamue kwa dhati toka moyoni na ukichukie hicho kitendo. Ainisha vichocheo vyoote vinavyokupelekea wewe kunyetuka, kichocheo kikubwa ni picha za ngono, acha kabisa kuziangalia, usitembelee tovuti za ngono, futa picha na video zote za ngono kwenye simu na computer yako kama unazo, unfollow page zote za instagram au facebook ambazo zinapost picha za utupu au nusu utupu, hiki nacho ni kichocheo,

ondoka kwenye magroup yote ya whatsapp/telegram yenye mlengo wa kingono ngono. Jielimishe kuhusu madhara ya kunyetuka, hii itakusaidia kama reminder kila unapotaka kufanya hicho kitendo, pia epuka kukaa mpweke, jishughulishe au fanya mazoezi, kwa kifupi mind yako iwe occupied na vitu vingine isikae idle bila kitu productive cha kufanya,

kuoga maji ya baridi pia kunasaidia kupunguza hamu ya kufanya ngono just incase ukizidiwa sana, lingine tafuta mpenzi wa kufanya nae. Acha nyeto, madhara yake ni makubwa kuliko faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii iliwahi nikuta mkuu,kipindi cha 6wk,yaani unakaa na serengeti hapa na hapa lakini holla,kuwauliza wana hali ni ileile angalau nikapata faraja
Inaonekana ulijishangaa sana na kuhisi labda umeshapata tatizo!

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.

Ukiangalia na cost za kupata papuchi zimekuwa juu sanaa, basi ni shida tupu.. na hata ukipata papuchi, huwezi kupata mchezo ontime.
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.
Pole sana,Kuwa ni mwenye kufanya mazoezi ama kufanya kazi za mikono kila mara hisia zinapokuja,kwahilo utafanikiwa
 
😝😝😝😝 pole mzeee....
Ingiza mkoko ndani mzee baba.
 
Pole sana,Kuwa ni mwenye kufanya mazoezi ama kufanya kazi za mikono kila mara hisia zinapokuja,kwahilo utafanikiwa
Sasa mchizi yupo geto saa nane usiku anaangalia porn, hisia kazileta mwenyewe, zimekuja, ataenda kufanya mazoezi gani muda huo ?
 
Mlio acha kupiga nyeto, mlitumia njia gani? Hili swala limekuwa majanga sana kwa watu wengi na mimi binasfi.

Ukiangalia na cost za kupata papuchi zimekuwa juu sanaa, basi ni shida tupu.. na hata ukipata papuchi, huwezi kupata mchezo ontime.
Sure mkuu kama mimi hapa nna mahusiano na dame wangu yupo karibu tu ila nna karibia miezi miwili sijaona papuch
 
Back
Top Bottom