Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Wakubwa poleni majukumu ya kila siku
sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua
Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena
ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda mrefu,kushindwa kusimama kwa muda mrefu hyo physical lakn hata kiakil imenifanya nasahau mambo kwa haraka,nimepoteza kujiamin muda wote najiona mkosaj
kwa waliocha naomba msaada wa mawazo,ushauri,nk
lakin pia kwa wanaoendelea usijidanganye kuwa hakuna madhara
mimi ni kijana wa miaka 19
nawasilisha
huwezi kuacha hata uende wapi . Wewe subiri kukongewa mke wako tu na hutokaa upone maisha
 
Wakubwa poleni majukumu ya kila siku
sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua
Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena
ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda mrefu,kushindwa kusimama kwa muda mrefu hyo physical lakn hata kiakil imenifanya nasahau mambo kwa haraka,nimepoteza kujiamin muda wote najiona mkosaj
kwa waliocha naomba msaada wa mawazo,ushauri,nk
lakin pia kwa wanaoendelea usijidanganye kuwa hakuna madhara
mimi ni kijana wa miaka 19
nawasilisha
Tafute mwanamke umuoe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punyeto ni pepo na chakula chake ni manii... Pepo ni roho chafu, kadiri unavyojichua ndio unavyoalika mapepo wengi kwenye karamu ya manii ndio maana inapokuja hamu ya kujichua huwezi kujizuia hata tufanyeje
Chumvi ya mabonge inatakasa mwili na kukukinga na nguvu zote za giza yakiwepo mapepo.. Kitendo cha kuitumia ni sawa na Mmasai kuingia kwenye disco na sime.. Hakuna atakayebaki
Dalili za kwamba mapepo ya punyeto yamekimbia
Utakosa hamu ya kujichua
Hutatamani kujichua tena
Hutaota ndoto mbaya tena
Utalala usingizi mnono bila kustukastuka

mapepo hushikilia hata njia zetu za mafanikio.. In fact huziwekea giza kwakuwa ukiwa busy una mambo muhimu ya kufanya hutapata muda wa kuwaza punyeto na automatically mapepo yatakosa chakula kitu ambacho hayataki hili litokee

Kama wewe ni mwathirika wa punyeto na mambo yako hayaendi na hulalli vizuri huku ukiandamwa na ndoto za ajabu na za kutisha jaribu chumvi sasa.. Hutajuta

Jr[emoji769]
Ni lazima iwe chumvi ya mabonge bonge ?
 
[emoji16][emoji23][emoji23]
tapatalk_1585398083597.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila punyeto inaachika niile tu kujiendekeza na kujikaribisha katika vishawishi tu
 
Yan Mimi nishajikatia tamaa nishadhalilika kwa madem zaid ya watatu yan tako 5 wazungu hao lakini sikomi kuacha, sitasahau dem wangu witty siku aliponililia kama mtoto mdogo akiniuliza tatizo nini yan dah mtoto alilia adi akawa mwekundu uso mzima.

Yote haya namlaumu patron Raphael alikua anatuhimiza tupige puli skull yaina madhara. Ila namshukuru Mungu nimemgeukia Yesu sasaiv naimani nitashinda.
 
Yan Mimi nishajikatia tamaa nishadhalilika kwa madem zaid ya watatu yan tako 5 wazungu hao lakini sikomi kuacha, sitasahau dem wangu witty siku aliponililia kama mtoto mdogo akiniuliza tatizo nini yan dah mtoto alilia adi akawa mwekundu uso mzima. Yote haya namlaumu patron Raphael alikua anatuhimiza tupige puli skull yaina madhara. Ila namshukuru Mungu nimemgeukia Yesu sasaiv naimani nitashinda.
Wewe umelogwa sio bure nyeto ninayoijua mim haijawahi kuniangusha na nikilala na mwanamke lazima aniulize wewe mbona unanito.m.b.a hivo unataka kunisogeza kizazi? Hili swali mpaka nimelikalili kichwani kwahyo nyeto haina madhara ni saikolojia yako tu ndo inayokuambia kuwa nyeto ina madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kutumia pia ukikosa ya mabonge

Jr[emoji769]
Mshana sasa kwa mfano. nina nguvu zangu waganga wa kienyeji za kunisaidia manbo yangu hapa duniani siunajua fitina nyingi za wanadamu , vp nikiogea hiyo chunji na hizo dawa zangu si zinaisha nguvu?
 
Hii ki2 inatakiwa ujikane nafsi kabisa n kazi sana kuacha Paka pilipili kweny Sehemu nyeti na mikononi
 
Nyeto sio nzuri by the way
Inajufanya usifurahie na usione utamu wa ngono
 
Hebu niambie, umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? Najua unaona aibu, hasa kama una tabia hiyo.

Usiogope rafiki yangu, leo nitazungumza na wewe taratibu halafu mwisho kabisa nitakuacha na tabasamu la nguvu!...
Kuna jamaa yangu enzi hizo tupo o level alikuwa akiiona sabuni tuu kitu kinainuka
 
Back
Top Bottom