Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

ngumu sana

sipati usingizi kabisa

nataka nianze kula vidonge vya usingizi
 
Unafundishwa mbinu unaanza kuleta ubishi..basi endelea na starehe yako bwana..
think outside the box,itakuaje macho yakiniwasha gafla inamaana nianze kuamsha majirani waje wanikune au?
 
ngumu sana

sipati usingizi kabisa

nataka nianze kula vidonge vya usingizi
Hili tatizo la utumiaji wa madawa ya kulevya au kucheza kamari, ugumu wa kuacha mambo hayo ndo upo kwny issue hii ya nyeto so km wanavyoweza kujizui na hatimaye kuacha kabisa ndivyo unapaswa uvae mfano huo
 
ngumu sana

sipati usingizi kabisa

nataka nianze kula vidonge vya usingizi
Ondoa iyo fikra "haiwezekani" fikran mwako na hapo utakua taraatibu umeanza kushindana na nafsi yako
 
Mkuu ata usiwaze we piga 2 mbna we unapga kdgo kuna wengne wanapga mara 5 kwa sku....sema kwa sasa we tafuta mbnu nyngne za puchu kama ile ya inzi kwenye mfuko
 
Nataka kulala apa nimeshapiga kimoja cha fasta ndo naskia usingizi
 
Ohhhpppsssss...[emoji87] [emoji87]
Huku nimepotea njia....
[emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…