Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Tafuta asali,tangawizi na kitunguu swaumu uvisage na viweke kwenye bakuli.kila siku asubuhi na jioni kunywa vijiko viwili.

NB. Kama huna tatizo ukinywa vijiko hivyo viwili uume utasimama Tu.


Itakusaidia kuimarisha mishipa ya uume

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe, Asante sana. Nimependa ushauri wako na umejenga kweli. Nashukuru Mishipa na kila kitu vipo vizuri ila Kwa uliyoyandika nitaongeza juhudi ya kuitumia huo Mlo kuimarika zaidi.

Asante
 
Hatua ya kwanza ya kutatua tatizo ni kulijua kuwa hilo ulilonalo ni TATIZO.

Kisha ukachukua juhudi za makusudi katika kulitatua ,Ikiwa ni pamoja na kuzungumza na mtu unayemuamini,Ambaye kwa wakati mwingine unaweza kumtumia kama mtu wa kukusimamia kwa kukukumbusha kupitia kukuuliza maendeleo ya kile ulichoamua kukibadilisha katika maisha yako.

Ni jambo jema uliloamua,Na pia vema ukafahamu kuwa,Mabadiliko yeyote ni HATUA,Hivyo hata kama ikitokea ukarudia tena kupiga katika kipindi hiki ulichoamua kuacha,USIKATE TAMAA kwamba safari yako imeishia hapo kuyafikia mafanikio.

Si mbaya kupiga punyeto,Lakini chochote kinachozidi katika maisha huwa na mwisho usio mzuri kwa muhusika.Hivyo anaza kwa kupunguza taratibu idadi ya upigaji,Kisha taratibu utakwenda unapunguza na mambo mengine ambayo yanachochea kujikuta unaingia katika zoezi hilo.

Umewasemea wengi ambao wanaweza kuwa hadi sasa wanasumbuliwa na tatizo hilo,Lakini kwa uwoga au kukosa mbinu za jinsi gani watafanya,WAmebaki wakijiaminisha kuwa hilo kwao sio tatizo na hivyo wamebaki wanaendelea kujiongezea matatizio zaidi.
Naaminini kama utafanya juhudi za kusimamia nidhamu ya kulibadili hili suala,Utafanikiwa na siku moja utakuja kutoa ushuhuda ambao utaendelea kuwasaidia wengine humu jukwaani.


Youth Worker
Hardness,Teaches
 
Unaiacha punyeto kwa kuisema na kuisimanga subiri uje uone spidi utakayorudinayo jua hapo unajaza kibubu tu kikijaa siku ukiona hata wale wadudu wanaitwa vilamba mwiko wanafanya basi jua nawe unaenda kunanilii...😂

We acha tu ila usijekutubakia dada zetu tu..😅
Ha ha haaaaa😺😺
 
Hii ni sawa na kunywa pombe nyingi kesho yake uamke na hangover useme sintagusa tena pombe[emoji1787]
 
Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1690]
 
Sasa hivi wamezima mitandao yote ya kijamii,pornsites,na betting sites zipo safii,sasa bando ndio zinaishia huko asee
 
Chanzo kikuu ni porn asee ukiweza kuepuka huu mtego umemaliza kila kutu missions completely

Ukiwa na bando lako una GB zako za kutoka unaweza shangaa usiku wa Manane usingiz ukakata kuna kiakili kinakujia upite kule uperuzi kidogo jua hapo ñdo makosa yanapoanzia
Mimi kinachonishangaa hivi majuzi tangu mtandao wa internet ufungiwe nilikuwa na bando langu kila nikiangia social media yoyote ile inagoma lkn nikizama Ignito pale chrome ngoma inatiki na kufunguka bila hiyana nikawa nashangaa hii miujiza nn sikuwa na budi ilibidi nilitumia bando langu kuperuzi xx clear HD , ikawa kazi na dawa daaadeq nimehitahidi kuihide Google chrome lkn nimeshindwa maana naona kama ndo passport yangu ipo hapo kuelekea USA

Mungu anirehemu
 
Dawa ya Nyeto ni mwanamke wa kudumu tu. Tafta mwanamke wa kupunguziana nae ugumu.

Sex is a basic need kwa mwanaum rijali na ukiikosa kwa wakati aidha utanunua malaya au utapiga puli.

Hivyo kwa mujibu wa maelezo yako napenda kukukumbusha kuwa wewe umepumzika tu.😂😂😂 Unless otherwise utafute demu uwe unamchakata tu.
Hii kitu hatari watu wana wanawake zao bado wanashtua.... kuacha hivi hivi tu labda uwe na imani kali zaidi ya mlokole
 
Tafuta demu, hapo unajidanganya...hata ukiwa nae kuna siku lazima utajilipua tuu
 
Sasa hivi wamezima mitandao yote ya kijamii,pornsites,na betting sites zipo safii,sasa bando ndio zinaishia huko asee
Porn addictants hawahitaji kuzimiwa social media ili kupata extra bando. Mtu anaunga GB moja anajibana ili apate za porn.
 
Back
Top Bottom