Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
Wanaume wapenda punyeto juwa haamridhishi wenzi wenu sekunde thelathini mnakuwa mumekojoa ka jogoo
 
😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka kuna kipindi niliweka nadhiri kama hii, na nikawasimanga sana wanaosema kuacha hii kitu ni ngumu.

Wiki moja na siku kadhaa tu, nilirudi kwa spidi...usain bolt akasome.

NB. Sikukatishi tamaa mkuu...😂😂😂😂
 

Wewe hujaacha bali umepumzika tu mkuu ila utarudia maana punyeto haiachwi kirahisi hivo kama wewe unavyotuambia....

Njia kuu na sahihi ya kuacha punyeto ni kuwa na mpenzi tu basi, hizi njia zingine ni za ziada sana.

Kuwa na mpenzi wako umpende akumalizie tamaa zako za ngono lakini tofauti na hapo utarudia hivi karibuni mbona
 
Upo kwenye captivity of negativity. U need to break those shackles.

Unatakiwa umpate mwanamke wa maisha anaelewa perversion yako sio kila mwanamke.Mfano unapiga nyeto ukitazama porn za ke wenye tattoo ndio unaridhika. Au umeingia kwenye daladala ukaona kiuno cha mwanamke mwenye tattoo basi ukifika home lazima upige nyeto ukimuwazia yule.
 
Umeongea point kubwa sana, chanzo kimojawapo kikubwa ni Porn,

Kwakuwa nimedhamiria na Nimeacha Kupiga Punyeto, nimefanya hivi nimeanza kujisomea vitu Online na hata nikiwa na GB ngapi za Internet hazitoshi kusomea Online, Nina Account Linkedin Learning, Nina Account Harvard Business Webinar, pia Nina Account YouTube for Kusoma Insipartion and Subject mbalimbali pia na nimejiunga na Webinar mbalimbali zinaleta email naingia

Nikiingia huko Internet inaisha haraka, na Focus yangu imehamia huko hivyo taratibu siwezi tena poteza bundle kwenda kwenye porn kwa kuwa najua nikiangalia nitaangukia nilipokataa na sitaki Punyeto

Hivyo nimeweka Mikakati Madhubuti Kusonga Mbele na kutorudi kwenye Punyeto
 
Umepiga kwa muda gani
 
Hahahaàaa siku mbili sio za kujipongeza aisee, kwa sasa nina zaidi ya mwaka sijapiga hii kitu ila kila nilipokuwa najiapiza hapo kale ilikuwa lazima nirudie tu ila nilipoamua kuipotezea bila viapo ndo huyoooo nakaribia mwaka wa pili saivi, na hata porn film naishia kud**sha tu naangalia kama nyimbo za mond ila hapo kale ilikuwa nikiona hizo film tu lazima nikiwashe
 
Kauli yako ya Mwisho, imefunga na kumalizia kauli zako za Kwanza. Nimedhamiria na siwacheki wengine na wengine wameandika hapa wakitoa ushauri, ninachojua kuwa nimedhamiria kuacha na uzuri sipo Pekee yangu Bali nipo na Mungu wangu ambaye ameniambia ninaweza hata hili.

Pia najua kama bado una ile dhamira ndani yako nawe utaacha tuu, Asante sana
 
Acheni zenu bana mtu anahitaji kufarijiwa na kutiwa moyo.

sio kuletewa mzaha na kejeli za kijinga. kama huna chaku shauri pita kimya kimya..

NB. Pole mtoa mada..! usipende kukaa peke yako, pia video games zinaweza kukusaidia
Asante sana,

Kikubwa Nina furaha kubwa sana kwa kuwa najua katika Kuacha kwangu na kuna wengine wanaacha.

Asante kwa ushauri mzuri sana wa kutumia muda vizuri kwa vitu ambayo havitanipelekea kuwaza hali ya zamani

Asante
 
Hongera sana kwa kutimiza Mwaka bila kupiga Punyeto, umenipa nguvu zaidi. For sure inawezekana.

Na kikubwa sijajiwekea limit, wala sijikweze, ila najua siku Mbili na Leo ya Tatu ndo mwanzo wa kuelekea halo ulipofikia wewe,

Asante kwa ushauri Mungu akubariki, hapo umewajenga wengi sana na Mimi mmojawapo kwa kuwa tumejua inawezekana, na Iwe zaidi kwako zaidi ya Miaka na miaka, kila La heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…