Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
Wanaume wapenda punyeto juwa haamridhishi wenzi wenu sekunde thelathini mnakuwa mumekojoa ka jogoo
 
😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka kuna kipindi niliweka nadhiri kama hii, na nikawasimanga sana wanaosema kuacha hii kitu ni ngumu.

Wiki moja na siku kadhaa tu, nilirudi kwa spidi...usain bolt akasome.

NB. Sikukatishi tamaa mkuu...😂😂😂😂
 
Nimejiwekea Mpango Mkakati wa kuacha Punyeto nimekusudia na nina hakika sitopiga tena Punyeto. Karibu katika Thread hii hujifunze na tupeana mbinu mbalimbali za Kuacha na Punyeto.

Siku ya Kwanza yenye Massa 24, ilikuwa jana nliamua na nimehacha kupiga Punyeto,

Ilikuwa ni tabia niliyokuwa nayo kwa miaka kadhaa mpaka siku ya Jana nilipoamua kuacha kabisa. Nimeona jinsi nilivyokuwa nakifurahia kitendo hiki kabla ya kupiga Punyeto ila nikishapiga najutia na ninachukia naona nimekosea sana. Nilisoma Faida zake kwenye Mitandao na baadae nikasoma Madhara yake.

Ila kutokana na Maamuzi yangu ambayo nimeyafurahi sana nimeamua kuhacha kitendo hiki na Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa amenihakikisha kuwa naweza tena naweza zaidi kuacha na kutokurudia kupiga Punyeto.

Asante Mungu
Siku ya Kwanza Jana 1 Nov 2020

Leo Tar 2 Ni siku yangu ya Mbili toka nimeacha kupiga Punyeto, na Leo nimejitahidi sana kujiepusha na kukaa mwenyewe au pekee yangu. Kuna wakati hali ilikuja ila nikaamua kwenda nje nikatembea kidogo niliporudi hali ikawa imetulia.

Siku ya Pili nimeishinda hii hali, nimedhamiria Moyoni, na najua nitaweza na Mungu ananisaidia

Wewe hujaacha bali umepumzika tu mkuu ila utarudia maana punyeto haiachwi kirahisi hivo kama wewe unavyotuambia....

Njia kuu na sahihi ya kuacha punyeto ni kuwa na mpenzi tu basi, hizi njia zingine ni za ziada sana.

Kuwa na mpenzi wako umpende akumalizie tamaa zako za ngono lakini tofauti na hapo utarudia hivi karibuni mbona
 
Upo kwenye captivity of negativity. U need to break those shackles.

Unatakiwa umpate mwanamke wa maisha anaelewa perversion yako sio kila mwanamke.Mfano unapiga nyeto ukitazama porn za ke wenye tattoo ndio unaridhika. Au umeingia kwenye daladala ukaona kiuno cha mwanamke mwenye tattoo basi ukifika home lazima upige nyeto ukimuwazia yule.
 
Chanzo kikuu ni porn asee ukiweza kuepuka huu mtego umemaliza kila kutu missions completely

Ukiwa na bando lako una GB zako za kutoka unaweza shangaa usiku wa Manane usingiz ukakata kuna kiakili kinakujia upite kule uperuzi kidogo jua hapo ñdo makosa yanapoanzia
Mimi kinachonishangaa hivi majuzi tangu mtandao wa internet ufungiwe nilikuwa na bando langu kila nikiangia social media yoyote ile inagoma lkn nikizama Ignito pale chrome ngoma inatiki na kufunguka bila hiyana nikawa nashangaa hii miujiza nn sikuwa na budi ilibidi nilitumia bando langu kuperuzi xx clear HD , ikawa kazi na dawa daaadeq nimehitahidi kuihide Google chrome lkn nimeshindwa maana naona kama ndo passport yangu ipo hapo kuelekea USA

Mungu anirehemu
Umeongea point kubwa sana, chanzo kimojawapo kikubwa ni Porn,

Kwakuwa nimedhamiria na Nimeacha Kupiga Punyeto, nimefanya hivi nimeanza kujisomea vitu Online na hata nikiwa na GB ngapi za Internet hazitoshi kusomea Online, Nina Account Linkedin Learning, Nina Account Harvard Business Webinar, pia Nina Account YouTube for Kusoma Insipartion and Subject mbalimbali pia na nimejiunga na Webinar mbalimbali zinaleta email naingia

Nikiingia huko Internet inaisha haraka, na Focus yangu imehamia huko hivyo taratibu siwezi tena poteza bundle kwenda kwenye porn kwa kuwa najua nikiangalia nitaangukia nilipokataa na sitaki Punyeto

Hivyo nimeweka Mikakati Madhubuti Kusonga Mbele na kutorudi kwenye Punyeto
 
Nimejiwekea Mpango Mkakati wa kuacha Punyeto nimekusudia na nina hakika sitopiga tena Punyeto. Karibu katika Thread hii hujifunze na tupeana mbinu mbalimbali za Kuacha na Punyeto.

Siku ya Kwanza yenye Massa 24, ilikuwa jana nliamua na nimehacha kupiga Punyeto,

Ilikuwa ni tabia niliyokuwa nayo kwa miaka kadhaa mpaka siku ya Jana nilipoamua kuacha kabisa. Nimeona jinsi nilivyokuwa nakifurahia kitendo hiki kabla ya kupiga Punyeto ila nikishapiga najutia na ninachukia naona nimekosea sana. Nilisoma Faida zake kwenye Mitandao na baadae nikasoma Madhara yake.

Ila kutokana na Maamuzi yangu ambayo nimeyafurahi sana nimeamua kuhacha kitendo hiki na Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa amenihakikisha kuwa naweza tena naweza zaidi kuacha na kutokurudia kupiga Punyeto.

Asante Mungu
Siku ya Kwanza Jana 1 Nov 2020

Leo Tar 2 Ni siku yangu ya Mbili toka nimeacha kupiga Punyeto, na Leo nimejitahidi sana kujiepusha na kukaa mwenyewe au pekee yangu. Kuna wakati hali ilikuja ila nikaamua kwenda nje nikatembea kidogo niliporudi hali ikawa imetulia.

Siku ya Pili nimeishinda hii hali, nimedhamiria Moyoni, na najua nitaweza na Mungu ananisaidia
Umepiga kwa muda gani
 
Hahahaàaa siku mbili sio za kujipongeza aisee, kwa sasa nina zaidi ya mwaka sijapiga hii kitu ila kila nilipokuwa najiapiza hapo kale ilikuwa lazima nirudie tu ila nilipoamua kuipotezea bila viapo ndo huyoooo nakaribia mwaka wa pili saivi, na hata porn film naishia kud**sha tu naangalia kama nyimbo za mond ila hapo kale ilikuwa nikiona hizo film tu lazima nikiwashe
 
😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka kuna kipindi niliweka nadhiri kama hii, na nikawasimanga sana wanaosema kuacha hii kitu ni ngumu.

Wiki moja na siku kadhaa tu, nilirudi kwa spidi...usain bolt akasome.

NB. Sikukatishi tamaa mkuu...😂😂😂😂
Kauli yako ya Mwisho, imefunga na kumalizia kauli zako za Kwanza. Nimedhamiria na siwacheki wengine na wengine wameandika hapa wakitoa ushauri, ninachojua kuwa nimedhamiria kuacha na uzuri sipo Pekee yangu Bali nipo na Mungu wangu ambaye ameniambia ninaweza hata hili.

Pia najua kama bado una ile dhamira ndani yako nawe utaacha tuu, Asante sana
 
Acheni zenu bana mtu anahitaji kufarijiwa na kutiwa moyo.

sio kuletewa mzaha na kejeli za kijinga. kama huna chaku shauri pita kimya kimya..

NB. Pole mtoa mada..! usipende kukaa peke yako, pia video games zinaweza kukusaidia
Asante sana,

Kikubwa Nina furaha kubwa sana kwa kuwa najua katika Kuacha kwangu na kuna wengine wanaacha.

Asante kwa ushauri mzuri sana wa kutumia muda vizuri kwa vitu ambayo havitanipelekea kuwaza hali ya zamani

Asante
 
Hahahaàaa siku mbili sio za kujipongeza aisee, kwa sasa nina zaidi ya mwaka sijapiga hii kitu ila kila nilipokuwa najiapiza hapo kale ilikuwa lazima nirudie tu ila nilipoamua kuipotezea bila viapo ndo huyoooo nakaribia mwaka wa pili saivi, na hata porn film naishia kud**sha tu naangalia kama nyimbo za mond ila hapo kale ilikuwa nikiona hizo film tu lazima nikiwashe
Hongera sana kwa kutimiza Mwaka bila kupiga Punyeto, umenipa nguvu zaidi. For sure inawezekana.

Na kikubwa sijajiwekea limit, wala sijikweze, ila najua siku Mbili na Leo ya Tatu ndo mwanzo wa kuelekea halo ulipofikia wewe,

Asante kwa ushauri Mungu akubariki, hapo umewajenga wengi sana na Mimi mmojawapo kwa kuwa tumejua inawezekana, na Iwe zaidi kwako zaidi ya Miaka na miaka, kila La heri
 
Back
Top Bottom