mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
MarhabaShikamoo braza
Solution to masturbation siyo kuoa!!Imani bila matendo imekufa na matendo ya mwili ni dhahiri. Aoe ili udhahiri wa hilo tendo udhihirike kwa mke vinginevya hilo tendo litadhihirika na sabuni, mafuta na mkono ahaaaaaaaa
Hatua ya kwanza ni kuoaSolution to masturbation siyo kuoa!!
Kwa sababu wapo wengi walio kwenye ndoa na bado wanapiga punyeto!!
NB: Naheshimu mawazo yako na mtazamo wako kwa kile unachoamini.
Alright kama umesoma vizuri tangu hii mada imeanza kuna baadhi ya shuhuda za watu zinasema wapo walioa na still wanapiga punyeto!!Hatua ya kwanza ni kuoa
Alright kama umesoma vizuri tangu hii mada imeanza kuna baadhi ya shuhuda za watu zinasema wapo walioa na still wanapiga punyeto!!
Wapo watu ambao wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa walidhani kuoa ndio itakua suluhisho la kuacha masturbation lakini bado wamejikuta wapo kwenye tatizo lile lile.
Mtu aliyezoea kupiga punyeto kwa kipindi kirefu ndoa pekee haiwezi kuwa suluhisho la tatizo lake.
Kaka Nathan ubarikiwe, na nimejifunza kitu hapo. Ni ngumu sana kutegemea MTU juu ya shida yako, hivyo kama nikuamua nikuamua na kuweka Mikakati madhubuti ili hata ukioa au kuolewa usijeendelea kupiga Punyeto.Alright kama umesoma vizuri tangu hii mada imeanza kuna baadhi ya shuhuda za watu zinasema wapo walioa na still wanapiga punyeto!!
Wapo watu ambao wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa walidhani kuoa ndio itakua suluhisho la kuacha masturbation lakini bado wamejikuta wapo kwenye tatizo lile lile.
Mtu aliyezoea kupiga punyeto kwa kipindi kirefu ndoa pekee haiwezi kuwa suluhisho la tatizo lake.
Namshukuru Mungu nimeanza kushughulika nayo akilini (Nafsi) hivyo naona mwanga mzuri kwa kuwa ikitoka akilini ni rahisi kumalizia kabisa kimwili.Masturbation inaishi akilini
Sahihi inaishi akilini tena kwa njia ya mawazo ndio maana mtu akifanikiwa kudhibiti mawazo mabaya yasipate nafasi ndani yake huwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda lustful thoughts zinazopelekea mtu kufanya masturbation.Masturbation inaishi akilini
Glory be to God bless you too🙏🏻🙏🏻Kaka Nathan ubarikiwe, na nimejifunza kitu hapo. Ni ngumu sana kutegemea MTU juu ya shida yako, hivyo kama nikuamua nikuamua na kuweka Mikakati madhubuti ili hata ukioa au kuolewa usijeendelea kupiga Punyeto.
Asante sana, lazima mabadiliko yaendelee na namshukuru Mungu kwa kuwa naona nikiimalika na kuwa na uwezo mkubwa wa kutokuwaza kufanya Punyeto tena.
Mchanganyo wake umekaajeTafuta asali,tangawizi na kitunguu swaumu uvisage na viweke kwenye bakuli.kila siku asubuhi na jioni kunywa vijiko viwili.
NB. Kama huna tatizo ukinywa vijiko hivyo viwili uume utasimama Tu.
Itakusaidia kuimarisha mishipa ya uume
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Impressive, Your thought determine your life.Sahihi inaishi akilini tena kwa njia ya mawazo ndio maana mtu akifanikiwa kudhibiti mawazo mabaya yasipate nafasi ndani yake huwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda lustful thoughts zinazopelekea mtu kufanya masturbation.
It is written be careful on how you think because your thoughts shapes your lifeim
Nimejiwekea Mpango Mkakati wa kuacha Punyeto nimekusudia na nina hakika sitopiga tena Punyeto. Karibu katika Thread hii hujifunze na tupeana mbinu mbalimbali za Kuacha na Punyeto.
Siku ya Kwanza yenye Massa 24, ilikuwa jana nliamua na nimehacha kupiga Punyeto,
Ilikuwa ni tabia niliyokuwa nayo kwa miaka kadhaa mpaka siku ya Jana nilipoamua kuacha kabisa. Nimeona jinsi nilivyokuwa nakifurahia kitendo hiki kabla ya kupiga Punyeto ila nikishapiga najutia na ninachukia naona nimekosea sana. Nilisoma Faida zake kwenye Mitandao na baadae nikasoma Madhara yake.
Ila kutokana na Maamuzi yangu ambayo nimeyafurahi sana nimeamua kuacha kitendo hiki na Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa amenihakikisha kuwa naweza tena naweza zaidi kuacha na kutokurudia kupiga Punyeto.
Asante Mungu
Siku ya Kwanza Jana 1 Nov 2020
Leo Tar 2 Ni siku yangu ya Mbili toka nimeacha kupiga Punyeto, na Leo nimejitahidi sana kujiepusha na kukaa mwenyewe au pekee yangu. Kuna wakati hali ilikuja ila nikaamua kwenda nje nikatembea kidogo niliporudi hali ikawa imetulia.
Siku ya Pili nimeishinda hii hali, nimedhamiria Moyoni, na najua nitaweza na Mungu ananisaidia
Kwan wote wanaopiga nyeto wamefikia Umri wa kuoa bro, mtu anapiga nyeto yuko form six unamuambia suluishao ni kuona kweli achen izo bhanaHatua ya kwanza ni kuoa