Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Shikamoo braza
Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
 
Imani bila matendo imekufa na matendo ya mwili ni dhahiri. Aoe ili udhahiri wa hilo tendo udhihirike kwa mke vinginevya hilo tendo litadhihirika na sabuni, mafuta na mkono ahaaaaaaaa
Solution to masturbation siyo kuoa!!

Kwa sababu wapo wengi walio kwenye ndoa na bado wanapiga punyeto!!

NB: Naheshimu mawazo yako na mtazamo wako kwa kile unachoamini.
 
Hatua ya kwanza ni kuoa
Alright kama umesoma vizuri tangu hii mada imeanza kuna baadhi ya shuhuda za watu zinasema wapo walioa na still wanapiga punyeto!!

Wapo watu ambao wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa walidhani kuoa ndio itakua suluhisho la kuacha masturbation lakini bado wamejikuta wapo kwenye tatizo lile lile.

Mtu aliyezoea kupiga punyeto kwa kipindi kirefu ndoa pekee haiwezi kuwa suluhisho la tatizo lake.
 
Masturbation inaishi akilini
 
Kaka Nathan ubarikiwe, na nimejifunza kitu hapo. Ni ngumu sana kutegemea MTU juu ya shida yako, hivyo kama nikuamua nikuamua na kuweka Mikakati madhubuti ili hata ukioa au kuolewa usijeendelea kupiga Punyeto.

Asante sana, lazima mabadiliko yaendelee na namshukuru Mungu kwa kuwa naona nikiimalika na kuwa na uwezo mkubwa wa kutokuwaza kufanya Punyeto tena.
 
Masturbation inaishi akilini
Sahihi inaishi akilini tena kwa njia ya mawazo ndio maana mtu akifanikiwa kudhibiti mawazo mabaya yasipate nafasi ndani yake huwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda lustful thoughts zinazopelekea mtu kufanya masturbation.

It is written be careful on how you think because your thoughts shapes your life.
 
Kaka Nathan ubarikiwe, na nimejifunza kitu hapo. Ni ngumu sana kutegemea MTU juu ya shida yako, hivyo kama nikuamua nikuamua na kuweka Mikakati madhubuti ili hata ukioa au kuolewa usijeendelea kupiga Punyeto.

Asante sana, lazima mabadiliko yaendelee na namshukuru Mungu kwa kuwa naona nikiimalika na kuwa na uwezo mkubwa wa kutokuwaza kufanya Punyeto tena.
Glory be to God bless you too🙏🏻🙏🏻
 
Sahihi inaishi akilini tena kwa njia ya mawazo ndio maana mtu akifanikiwa kudhibiti mawazo mabaya yasipate nafasi ndani yake huwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda lustful thoughts zinazopelekea mtu kufanya masturbation.

It is written be careful on how you think because your thoughts shapes your lifeim
Impressive, Your thought determine your life.

Asante, I'll continue to feed my Brain with right ingredients. Na Mwisho no Masturbation
 
Nimejiwekea Mpango Mkakati wa kuacha Punyeto nimekusudia na nina hakika sitopiga tena Punyeto. Karibu katika Thread hii hujifunze na tupeana mbinu mbalimbali za Kuacha na Punyeto.

Siku ya Kwanza yenye Massa 24, ilikuwa jana nliamua na nimehacha kupiga Punyeto,

Ilikuwa ni tabia niliyokuwa nayo kwa miaka kadhaa mpaka siku ya Jana nilipoamua kuacha kabisa. Nimeona jinsi nilivyokuwa nakifurahia kitendo hiki kabla ya kupiga Punyeto ila nikishapiga najutia na ninachukia naona nimekosea sana. Nilisoma Faida zake kwenye Mitandao na baadae nikasoma Madhara yake.

Ila kutokana na Maamuzi yangu ambayo nimeyafurahi sana nimeamua kuacha kitendo hiki na Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa amenihakikisha kuwa naweza tena naweza zaidi kuacha na kutokurudia kupiga Punyeto.

Asante Mungu
Siku ya Kwanza Jana 1 Nov 2020

Leo Tar 2 Ni siku yangu ya Mbili toka nimeacha kupiga Punyeto, na Leo nimejitahidi sana kujiepusha na kukaa mwenyewe au pekee yangu. Kuna wakati hali ilikuja ila nikaamua kwenda nje nikatembea kidogo niliporudi hali ikawa imetulia.

Siku ya Pili nimeishinda hii hali, nimedhamiria Moyoni, na najua nitaweza na Mungu ananisaidia

Siku ya NNE Bila kupiga Punyeto

Nina zidi Kumshukuru Munu imetimia siku ya NNE, mbele nasonga. Leo nimejifunza kuwa maamuzi yana hitaji msimamo mkubwa sana hata pale unapoona unakaribia kushindwa unakumbuka kuwa nimeweka msimamo wakutochezea kiungo changu unapata nguvu mpya

Naendelea na mazoezi, kusoma NENO na kujifunza mambo ambayo yananifanya kuyawaza sana na na kuwa busy na kusoma vitu vya Kibiashara na maisha ya kawaida hivyo nasahau.

Na Leo nimeweka Mpango wa kuto kuja kupitia thread (Uzi) wenye vishawishi
 
WANAUME TUFANYE SEMEN RETENTION... inasaidia. Tuzitunze shahawa zetu. Ni ngumu ila inafaida sana
 
eti mtu ana siku 2 tuu hajapiga punyeto anajidanya kuwa ameachana nayo, sijui kama anajua kupiga punyeto ni karibia sawa na kuwa 'teja' wa ngada……….
 
Back
Top Bottom