Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Sasa kama kaathirika anawezaje kuendelea nayo ilhali kifanyio hakifanyi kazi. Halafu umuombe Mungu kuacha nyeto halafu unaenda kuzini? Naona kama mawazo yako yana walakini?
yeye akili yake inamtuma kuzini sio dhambi
 
kwa Wale walio athirika na huu Ushenzi.. njia rahisi nii hii hapa

nilimshauri Mwenzenu akafuata hii njia leo hii Ananishukuru,

Tenga siku 7 Bila kupiga nyeto..

(usiangalie picha za uchi/wala kushikana shikana na mwanamke ukiwa unajua huwez kumlala/epuka story za mapenzi zilizo kithiri/LEFT magrp yote ya whatsapp yanayojihusisha na mambo ya 18+)

ukifanikiwa kufika siku 7... futa kichwani.. anza tena (endelea) siku 7 zingine..

jumla utakuwa na siku 14... hapa Ubongo unakuwa katika recovery mode..

fanya tena huo mzunguko hadi ufikie siku 14 zingine...

(kaa chini.. omba mungu wako akuepushe na hako kamchezo... jiongezee imani na ujasiri kwa kutafakari kuweza kumudu siku nyingi bila PUNYETO)

malizia siku zingine kama kawaida.. na kama una DEMU nenda kasawazishe MATUTA na kama hauna basi kausha..

ukifanya hivyo... PUNYETO UNAISAHAU kabisa...

NB;MTU ALIYEKUWA NA MAZOEA YA KUPIGA PUNYETO ALAFU AKAWEZA KUACHA KABISA KUPIGA PUNYETO huyo mtu huwa na UPEKEE kunako 6x6.. pia mtu huohuyo anapata MIZUKA sana pale anapokutana na real INSTRUMENT...
Kwa kuongezea tu, akipata hamu kama hana demu mwambie afanye mazoezi hasa ya kukimbia. Hamu lazima iishe...
 
hiyo njia ilikuwa ni the bestest kama duniani tungekuwa tunaishi mara mbili,but kama tunaishi mara moja,hakuna haja ya kuacha kupiga manyanga,tuendelee tu!ukianza kufuatilia trends za vitu vyenye madhara kwa sasa kila kitu kitaonekana hakifai...wewe hongera kwa kuacha sisi tunaendelea!
best wishes
 
Unaona sasa. Nilijifunza jambo moja kwamba katika maisha kila kitu kikizidi kiwango kina athari. Vilevile kila mtu ana starehe yake. Na kwa sababu hasa matendo ya kingono hayafanyiki hadharani ni ngumu kucontrol mtu anachokifanya akiwa chumbani peke yake.
kwakuwa mtu unakula unashiba.. na unaafya nzima.. basi moja kati ya NYETO au KUZINI.. inakuhusu.. au ujistiri kwa kuoa
 
Back
Top Bottom