Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Umeniuliza starehe yangu ndio nikajibu hivyo. Kwa maana nyingine unataka kuniambia kunjunjana nayo ni starehe? Kama Ulikuwa unamaanisha kuondoa ugumu ni kwamba nina shemeji yako
anha... hongera kaka.. ndio kubanduana ni sttarehe.. we unazani ni mazoezi yale
 
hiyo njia ilikuwa ni the bestest kama duniani tungekuwa tunaishi mara mbili,but kama tunaishi mara moja,hakuna haja ya kuacha kupiga manyanga,tuendelee tu!ukianza kufuatilia trends za vitu vyenye madhara kwa sasa kila kitu kitaonekana hakifai...wewe hongera kwa kuacha sisi tunaendelea!
Duuh mkuu...una mahamuzi magumu aisee
 
Tangu nimeoa nimehacha maana nilikua nshakua teja wa nyeto nakumbuka kuna siku nilikua napiga nyeto nikiwa kwenye daladala bahati nzuri skufanikiwa kumimina mzigo .sjui ningetembea vip siku nyingine nikawa napiga nmekaa kwenye kitanda kumbe jamaa zangu wananipimia dirishani walicheka sana .ndo nikastuka mpaka leo wife akisafir wiki moja lazma nipige
Ndo ujaacha mzee
 
Wakuu nina miaka 29, ni baba wa familia ya watoto wawili nilianza kupiga punyeto mwaka 2008 baada tu ya kubalehe nimejitahidi sana kuacha tabia kwa kufanya mazoezi ya nguvu, hata kuingia kwenye maomba ya kufunga na kutubu lakini nilishindwa nashukuru nimeacha rasmi mwezi wa kumi 2018 baada ya kuugua kwa kuumwa na (pumbu) korodani.

Maumivu ya korodani ni makali sana, bora mtu akupige ngumi ya uso maumivu yake yanapoa mapema kuliko ya korodani, kwa aliyewahi pata hili tatizo hawezi kuumiza kichwa kujua namaanisha nini, watu wengi walinishauri niende hospitali nipate tiba waliyodai itaabatana na upasuaji, niliogopa sana na kujutia kupiga punyeto miaka kedekede wakati nina mke wangu mzuri,

Lakini ndo hivo tabia ni kama ngozi huwezi kuibadilisha, mkewangu alipotoka kidogo siku tatu tu lazima ningeingia bafuni nakupata burudani murua bila kuombwa pesa au vocha na wadada wa mtaani, lakini pia magonjwa kama ukimwi niliamini yasingenisogelea katu,baada ya kuumwa korodani kwa muda namshukuru mungu nilielekezwa kwa mzee mwenye tiba aliyenisihi kuwa tatizo langu limechangiwa kiasi kikubwa na kupiga punyeto. Baada ya tiba yake sasa nimepona rasmi vijana acha punyeto kwa afya yetu ni hatari.
 
Wakuu nina miaka 29, ni baba wa familia ya watoto wawili. Nilianza kupiga punyeto mwaka 2008 baada tu ya kubalehe. Nimejitahidi sana kuacha tabia kwa kufanya mazoezi ya nguvu, hata kuingia kwenye maomba ya kufunga na kutubu lakini nilishindwa Nashukuru nimeacha rasmi mwezi wa kumi 2018 baada ya kuugua kwa kuumwa na (pumbu) korodani.Maumivu ya korodani ni makali sana, bora mtu akupige ngumi ya uso maumivu yake yanapoa mapema kuliko ya korodani, kwa aliyewahi pata hili tatizo hawezi kuumiza kichwa kujua namaanisha nini, Watu wengi walinishauri niende hospitali nipate tiba waliyodai itaabatana na upasuaji, niliogopa sana na kujutia kupiga punyeto miaka kedekede wakati nina mke wangu mzuri, lakini ndo hivo tabia ni kama ngozi huwezi kuibadilisha, Mkewangu alipotoka kidogo siku tatu tu lazima ningeingia bafuni nakupata burudani murua bila kuombwa pesa au vocha na wadada wa mtaani, lakini pia magonjwa kama UKIMWI niliamini yasingenisogelea katu,Baada ya kuumwa korodani kwa muda namshukuru mungu nilielekezwa kwa mzee mwenye tiba aliyenisihi kuwa tatizo langu limechangiwa kiasi kikubwa na kupiga punyeto. Baada ya tiba yake sasa nimepona rasmi. VIJANA ACHA PUNYETO KWA AFYA YETU NI HATARI.
hongera
 
kwahyo huyo mzee ndiye alikuambia kwamba tatizo lako limetokana na nyeto au umeasume tu? ila nahisi kama vile unafanya katangazo ka biashara.
 
ningependa kujua madhara ya pull nje ya nguvu za kiume. maana niliwahi kupiga hadi nikazimia au kukata moto. pia lipsi kuwa kavu na kichwa kuuma
 
Kwa hiyo chaputa kwa Sasa inapitia kipindi hatari wanachama wake waandamizi wananunuliwa.tuna makundi mawili lipo kundi la chaputa forever hao sisi mpaka tudedi
hahaa huyu hana madhara kwa CHAMA kwa miaka hiyo hana mchango wowote,kila siku CHAMA kina sajiri damu changa zenye nguvu na kasi ...
 
ningependa kujua madhara ya pull nje ya nguvu za kiume. maana niliwahi kupiga hadi nikazimia au kukata moto. pia lipsi kuwa kavu na kichwa kuuma
hayo tosha mazara kaka usitegemey mazara mengine tena!
 
ningependa kujua madhara ya pull nje ya nguvu za kiume. maana niliwahi kupiga hadi nikazimia au kukata moto. pia lipsi kuwa kavu na kichwa kuuma

Pull haileti upungufu wa nguvu za kiume. Faida moja wapo ya pull ambayo ni muhimu kuliko zote, inayokufanya ww uwe kidume unapokua na mdada kitandani ni kuzuia PE. That is if and only if unafanya pull kwa ku train your mind and body, sio ile unapiga pull ndan ya dakk sifur umemaliza, matokeo yake unachosha mishipa hiyo ndio unakosa na nguvu za kiume sasa.
 
Back
Top Bottom