Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
usajili ni bure kujitoa hakupoi😅😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa ha ha, du! We jamaa noumer sana, since 1992?Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
Wonderful, Mungu akubariki kwa ushauri murua na makini uliojaa maneno yaliyotoka kwenye misingi ya NENO.Nakutakia kila la heri lakini fahamu upo kwenye spiritual warfare (vita vya kiroho) kwa sababu masturbation hufungua mlango mkubwa sana wa spirit of lust (roho ya uasherati) kuingia ndani ya mtu na hatimaye kumfanyà mtu kushindwa kujizuia unaposikia hamu ya kufanya masturbation.
Na kinachofanya ushindwe kujizuia ni kwasababu unakua under control/dominion of spirit of lust.
Msaada wa kuacha na kutoka kwenye kifungo cha addiction ya punyeto ni maombezi ya kufunguliwa kwenye hiyo changamoto
Pia zipo hatua nyingine ambazo unaweza kuzifuata ili uweze kufunguliwa na kuwa huru.
All in all its a process kikubwa ni kutafuta msaada wa Mungu kwake hakuna lisilo wezekana
Hongera sana, Jambo jema hilo miezi mitatu safiiiiiii.Nitoe na mimi nitoe ushuhuda wangu kikutia moyo, sasa hivi nina miezi mitatu na zaidi bila hiyo mambo mara yangu ya mwisho ilikuwa tarehe 25 mwezi wa saba.
Porn naangalia kama kawaida lakini sifanyi chochote, ukiamua inawezekana lakini itakuwa rahisi sana kwako kama umeshapata madhara kadhaa.
Unanitenga sana mheshimiwaSikusema uendelee kutizama, nilichomaanisha ni kuwa si kila ukiangalia porn lazima ujichue.
Na wewe utafanikiwa tu mkuu fanya kuchukia hicho kitendo basi mengine mbwembwe tu.
Legend incognitico we legendChanzo kikuu ni porn asee ukiweza kuepuka huu mtego umemaliza kila kutu missions completely
Ukiwa na bando lako una GB zako za kutoka unaweza shangaa usiku wa Manane usingiz ukakata kuna kiakili kinakujia upite kule uperuzi kidogo jua hapo ñdo makosa yanapoanzia
Mimi kinachonishangaa hivi majuzi tangu mtandao wa internet ufungiwe nilikuwa na bando langu kila nikiangia social media yoyote ile inagoma lkn nikizama Ignito pale chrome ngoma inatiki na kufunguka bila hiyana nikawa nashangaa hii miujiza nn sikuwa na budi ilibidi nilitumia bando langu kuperuzi xx clear HD , ikawa kazi na dawa daaadeq nimehitahidi kuihide Google chrome lkn nimeshindwa maana naona kama ndo passport yangu ipo hapo kuelekea USA
Mungu anirehemu
Nipo mkuu, saaa hivi tunasikilizia machunguUnanitenga sana mheshimiwa
Bukaba diwani naskia mtakoma huo ubabeNipo mkuu, saaa hivi tunasikilizia machungu
Bukaba hana shida sana, shida alikuwa Mpanduji ndo mkorofiBukaba diwani naskia mtakoma huo ubabe
Kakakaaa!! Kumbe nyeto ina muda mrefu duu!!Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
Amen God bless you unayaweza mambo yote katika yeye akutiaye nguvu!!Wonderful, Mungu akubariki kwa ushauri murua na makini uliojaa maneno yaliyotoka kwenye misingi ya NENO.
Asante sana, Ninaendelea na dhamira yangu, na kumuomba Mungu Kwa kuwa ndiye aliyenihakikishia kuwa ninaweza kuacha
Huyo hajaacha kabisa!Kweli ulikuwa addicted asee, yaan inaonekana kwamba ilikiwa haipiti masaa 24 ushapiga nyeto. Inamaana kila siku. Hongera kwa kuacha