Nakubaliana na wewe mkuu kwa 100%, porn ni mbaya sana, hata kama una demu utamuaona kama hakusatisfy, kutokana na zile fantasy unazoona kwenye porn, unakuwa unamalizia na nyeto.
Kuna movie moja ya Bwana Joseph Gordon Levit inaitwa "Don Jon", ameigiza kama mtu aliyekuwa addicted na porn na masturbation, jamaa alikuwa anadate wanawake wazuri sana, but akishasex anaenda kuwasha Mac yake na kuangalia porn ndiyo anaridhika, tofauti na hapo, alikuwa anaona wanawake hawafullfil zile fantasy alizokuwa na anaangalia kwenye porn.