Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Ukiweza siku 25, basi umeeishinda. Safari njema [emoji16]
Mimi niliwahi kuacha kwa siku 47 lakin nlirudi kwa kasi ya Air Force 1, nilianza kuwa na stress kinoma, kupoteza kumbukumbu, na kutamani kila mwanamke niliemuona.. mzee nyeto huwez kuiacha kirahisi kama huna sehem ya kupooza makali utakuja kubaka[emoji23] kuna hatua ukifika mwili unakataa wenyewe unarudisha mpira kwa kipa, ndo maana hata vtabu vya Mungu vimeturuhusu kuowa tukishafika umri wa balehe nafikiri waliujua umuhimu wa kupooza makali
 
Wala nyeto haina madhara labda inategemea na mtu mwenyewe maana mimi nineanza kupiga nyeto tangu mwaka 1994
Zamani nikiwa bado kijana sana kipindi cha chuo nilikuwaga napiga kila siku hata mara nne mpaka kufikia leo napigaga mara moja moja nikipata gape
Lakini hata nikiwa na demu ndo napiga mashine vizuri na simalizi haraka
 
Mkuu kuwa serious, tangu 1994?😳
 
Teh teh teh Punyeto utaacha siku uki aibika kwenye show .ayo mengine ni break fupi tu
 
Huwezi kuikimbia dhambi ilhaki hukutani na vishawishi vya kuifanya we angalia porn afu jipime Kama utahimili bila kupiga nyeto ukiweza Basi possibility ya kuachia nyeto ni kubwa
 
Hapa unajifariji Boss, I tell you from first hand experience.

K haijawahi kuwa kizuizi cha puchu, kuna kipindi zilikuwepo tatu kwa wakati mmoja lakini haikuzuia utekelezaji wa ilani ya chama.

Sababu kubwa ya puchu ni porn. Porn ndio addiction mbaya zaidi kwa mtu kukutana nayo baada ya unga.

Suluhisho ni kubadili mindset, kujidhatiti kikamilifu kuepuka porn then mengine yatajiseti automatically.
Nakubaliana na wewe mkuu kwa 100%, porn ni mbaya sana, hata kama una demu utamuaona kama hakusatisfy, kutokana na zile fantasy unazoona kwenye porn, unakuwa unamalizia na nyeto.

Kuna movie moja ya Bwana Joseph Gordon Levit inaitwa "Don Jon", ameigiza kama mtu aliyekuwa addicted na porn na masturbation, jamaa alikuwa anadate wanawake wazuri sana, but akishasex anaenda kuwasha Mac yake na kuangalia porn ndiyo anaridhika, tofauti na hapo, alikuwa anaona wanawake hawafullfil zile fantasy alizokuwa na anaangalia kwenye porn.
 
Ukitaka kujua ubaya wa porn tafuta shuhuda za mastaa wengi wa America.

Watu wana hela, manzi wakali lakini porn zimewapeleka puta.

Nimewahi kuona kadocumentary watu kibao wanafunguka kuhusu kuhusu porn, puchu na kununua Malaya.

Akina Terry Crews, Lily Wayne, Kanye nk walikiri kuwa wadau wa chaputa kisa porn.
 
Nikimtia dem Cha kwanza, ile nimemaliza tu kujifuta, na yeye akajifuta, nikimuangalia na kuona K napata mzuka hapo hapo.

Mimi: Haya tuendelee
Yeye: Si tunapumzika kwanza!?
Mimi : INAMAAA
Yeye : (huku akiinama) JAMAAAAANIIII

Imoooooo. Hapo cha 2, Show ni masaa 2

Najivunia nguvu za kiume nilizonazo
 
Ukitaka kujua ubaya wa porn tafuta shuhuda za mastaa wengi wa America.

Watu wana hela, manzi wakali lakini porn zimewapeleka puta.

Nimewahi kuona kadocumentary watu kibao wanafunguka kuhusu kuhusu porn, puchu na kununua Malaya.

Akina Terry Crews, Lily Wayne, Kanye nk walikiri kuwa wadau wa chaputa kisa porn.
Umenikumbusha pia kuna interview niliangalia, Travis Scott anasema yeye ni addict mkubwa waporn, akawa anasema "Porn is amazing" 😂😂, akadai kuwa huo ni ugonjwa wake mkubwa na addiction ya muda mrefu.
Lakini kwa nchi zetu za Africa, hatuna knowledge ya kutosha kuhusu maswala ya mental health, na porn addiction siyo nzuri kabisa kwa mental health, hii inapelekea depression, anxiety, paranoia, pia inaathiri sana utendaji kazi. Na hata wengi walio kwenye ndoa wanashindwa kuwafurahia wenzi wao, kutokana na hii addiction, unakuta una mwanamke amekamilika kila sekta lakini haumfurahii ,kutokana na ubongo ku adapt zile extreme sexual practice mtu anazokuwa anaangalia kwenye porn, yaani kama mtu aliyetumia madawa muda mrefu tolerance imekuwa kubwa mpaka atumie zile hard core drugs ndiyo ile high ina kick.
 
Nakutakia kila la heri lakini fahamu upo kwenye spiritual warfare (vita vya kiroho) kwa sababu masturbation hufungua mlango mkubwa sana wa spirit of lust (roho ya uasherati) kuingia ndani ya mtu na hatimaye kumfanyà mtu kushindwa kujizuia unaposikia hamu ya kufanya masturbation.
Na kinachofanya ushindwe kujizuia ni kwasababu unakua under control/dominion of spirit of lust.

Msaada wa kuacha na kutoka kwenye kifungo cha addiction ya punyeto ni maombezi ya kufunguliwa kwenye hiyo changamoto

Pia zipo hatua nyingine ambazo unaweza kuzifuata ili uweze kufunguliwa na kuwa huru.

All in all its a process kikubwa ni kutafuta msaada wa Mungu kwake hakuna lisilo wezekana

Kabisa nikusali.
 
Siku ya Tatu (3) bila Kupiga Punyeto;

Naendelea kumshukuru Mungu kwa kuwa nazidi kuimarika na kuona inawezekana, nimejifunza kitu kimoja katika dhamira hii, kuwa chochote kile kinaanza kwa kidogo kidogo hivyo kila siku ni ya msingi kwa kujitengenezea tabia naipendayo na kuachana na Punyeto.

Leo Nimejitahidi kufanya mazoezi ya Viungo na kuuchosha mwili na hata sasa mwili umechoka kwa mazoezi na misuli ya mikono na kifua imekaza. Hii imefanya kutowaza vitu vingine vinavyopelekea Punyeto.

Na Nimepanga Kuingia Kusoma Kitabu muda si Mrefu kisha nipate na NENO. Nawashukuru wale mnaoendelea kuachilia shuhuda zenu, kutoa ushauri, kuelekeza na hata namna ya mipango ambayo mmeitoa ili kusaidia katika kuachana na kuturudia hali za kuwaza Na Kutafakari Punyeto.

Somo Nzuri LA Leo nimejifunza kutoka kwenu
Punyeto inaanzia akilini hivyo kuishinda ni kuanzia kwenye Akili (Nafsi)

Asanteni sana
 
Hapa unajifariji Boss, I tell you from first hand experience.

K haijawahi kuwa kizuizi cha puchu, kuna kipindi zilikuwepo tatu kwa wakati mmoja lakini haikuzuia utekelezaji wa ilani ya chama.

Sababu kubwa ya puchu ni porn. Porn ndio addiction mbaya zaidi kwa mtu kukutana nayo baada ya unga.

Suluhisho ni kubadili mindset, kujidhatiti kikamilifu kuepuka porn then mengine yatajiseti automatically.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ya Tatu (3) bila Kupiga Punyeto;

Naendelea kumshukuru Mungu kwa kuwa nazidi kuimarika na kuona inawezekana, nimejifunza kitu kimoja katika dhamira hii, kuwa chochote kile kinaanza kwa kidogo kidogo hivyo kila siku ni ya msingi kwa kujitengenezea tabia naipendayo na kuachana na Punyeto.

Leo Nimejitahidi kufanya mazoezi ya Viungo na kuuchosha mwili na hata sasa mwili umechoka kwa mazoezi na misuli ya mikono na kifua imekaza. Hii imefanya kutowaza vitu vingine vinavyopelekea Punyeto.

Na Nimepanga Kuingia Kusoma Kitabu muda si Mrefu kisha nipate na NENO. Nawashukuru wale mnaoendelea kuachilia shuhuda zenu, kutoa ushauri, kuelekeza na hata namna ya mipango ambayo mmeitoa ili kusaidia katika kuachana na kuturudia hali za kuwaza Na Kutafakari Punyeto.

Somo Nzuri LA Leo nimejifunza kutoka kwenu
Punyeto inaanzia akilini hivyo kuishinda ni kuanzia kwenye Akili (Nafsi)

Asanteni sana
Glory be to God nakuombea pia brother!!

Keep on confessing your sin mbele za Mungu yeye ni mwenye rehema atakusamehe na kukupa hatua mpya.

if possible tafuta rafiki wa karibu na mwaminifu atakayekua anakutia moyo na kukuombea ili usipigane vita hii peke yako!!

Yakobo 5:16b
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa.

Lastly kwa sababu masturbation ni kitendo ambacho huleta majuto na kujihukumu (condemnation) ni vema pia ukaweka mikakati ya kupambana na every voice of condemnation ambayo itajaribu kukwambia God has not forgiven your sin or your past!!

Maandiko yanasema hivi;
Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.
RUM. 8:1 SUV

Shetani au mwanadamu yoyote hana haki ya kukuhukumu since your now finding your way back to God and live fully for him.

Usiruhusu mtu awaye yoyote akukatishe tamaa au akuzimishe moyo kwenye vita hii take a good courage no turning back!!

Victory is yours🙏🏻🙏🏻
 
Skia, oa why ? Shetani akishajua kuna unadhambi unayo i fight anaileta mlangoni. Inaitwa dhambi ulinayokuotea mlangoni. Yaani inakutega..shetani ni mtega mitego atakutega mpka utaingia so oa man...
 
Glory be to God nakuombea pia brother!!

Keep on confessing your sin mbele za Mungu yeye ni mwenye rehema atakusamehe na kukupa hatua mpya.

if possible tafuta rafiki wa karibu na mwaminifu atakayekua anakutia moyo na kukuombea ili usipigane vita hii peke yako!!

Yakobo 5:16b
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa.

Lastly kwa sababu masturbation ni kitendo ambacho huleta majuto na kujihukumu (condemnation) ni vema pia ukaweka mikakati ya kupambana na every voice of condemnation ambayo itajaribu kukwambia God has not forgiven your sin or your past!!

Maandiko yanasema hivi;
Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.
RUM. 8:1 SUV

Shetani au mwanadamu yoyote hana haki ya kukuhukumu since your now finding your way back to God and live fully for him.

Usiruhusu mtu awaye yoyote akukatishe tamaa au akuzimishe moyo kwenye vita hii take a good courage no turning back!!

Victory is yours[emoji1317][emoji1317]
Imani bila matendo imekufa na matendo ya mwili ni dhahiri. Aoe ili udhahiri wa hilo tendo udhihirike kwa mke vinginevya hilo tendo litadhihirika na sabuni, mafuta na mkono ahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom